Pesa zinapita ila jitahidi zipitie mikononi mwako.!!
Hiko sio kigezo mi nataka unishawishi nishawishike ili nikukubali wale waliosema mi mgumu wajionee.!! πππ
Si umeniita unitongoze? Haya endelea kushusha verse.!! Nipo mwingi leo
Unaona saaaasa? Hii ni labeling mkuu jf inaamin kila mtu kajipata! Mm hata kutongoza vizur sijajua ndo najarib jarib kwa ephen_ mana nampenda sana na naiman atanipa mtaji