Pesa zinapita ila jitahidi zipitie mikononi mwako.!!
Hiko sio kigezo mi nataka unishawishi nishawishike ili nikukubali wale waliosema mi mgumu wajionee.!! 😂😂😂
Si umeniita unitongoze? Haya endelea kushusha verse.!! Nipo mwingi leo
😂😂😂 wacha weee!!
Em nionyeshe nijione mana hata sijijui nafananaje.!!
Kkoo mi winga nasubiri order za maboss niwafungie mizigo niwatumie nipate Mia mia za kula na za vocha.!!
Unaona saaaasa? Hii ni labeling mkuu jf inaamin kila mtu kajipata! Mm hata kutongoza vizur sijajua ndo najarib jarib kwa ephen_ mana nampenda sana na naiman atanipa mtaji
Unaona saaaasa? Hii ni labeling mkuu jf inaamin kila mtu kajipata! Mm hata kutongoza vizur sijajua ndo najarib jarib kwa ephen_ mana nampenda sana na naiman atanipa mtaji