Alwatani mimi natishikaje?
Turudi kwenye lengo.
Mimi nimekuelewa, njoo ule raha alizozikataa
Lamomy
Kwa kifupi tunishasema tena pale juu.
Nilikuwa na mke wangu huku.
Kila mtu alikuwa anatujua sasa nikawa tajiri mke akaogopa, tukakaa mbale zote mbili tukakubaliana kuachana.
Sasa huwezi kunitapeli hadi ziishe.