mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Aug 7, 2024 #10,321 Ms R said: anakaa kwake au kwao,,au nimeelze ye mwenyewe Click to expand... Amejenga mbweni dare Salam Namjua physically
Ms R said: anakaa kwake au kwao,,au nimeelze ye mwenyewe Click to expand... Amejenga mbweni dare Salam Namjua physically
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,597 Reaction score 119,724 Aug 7, 2024 #10,322 Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi.
Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,096 Aug 7, 2024 #10,323 kiwatengu said: Mimi nakuacha ukateseke zako huko Click to expand... 😹😹😹 kuteseka tena??
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,309 Reaction score 17,839 Aug 7, 2024 Thread starter #10,324 Lamomy said: 😹😹😹 limeisha hiloo Kaa kimasta nikupe pasi ufunge, dada winga sikoseagi Click to expand... Ha ha ha Nifah is single!!
Lamomy said: 😹😹😹 limeisha hiloo Kaa kimasta nikupe pasi ufunge, dada winga sikoseagi Click to expand... Ha ha ha Nifah is single!!
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,547 Reaction score 22,982 Aug 7, 2024 #10,325 kiwatengu said: Nisikilize! hapa usalama ni uhakika, kula uhakika, furaha uhakika, mapenzi uhakika. Vyote vinapatikana kwa hadhi ya hali ya juu Kabisa. Karibu Mpenzi Click to expand... Ngoja niringe kwanza, nikikubali haraka utanisanukia utapeli wangu
kiwatengu said: Nisikilize! hapa usalama ni uhakika, kula uhakika, furaha uhakika, mapenzi uhakika. Vyote vinapatikana kwa hadhi ya hali ya juu Kabisa. Karibu Mpenzi Click to expand... Ngoja niringe kwanza, nikikubali haraka utanisanukia utapeli wangu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 38,653 Reaction score 49,080 Aug 7, 2024 #10,326 Depal njoo tuanze tulipoishia.
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,309 Reaction score 17,839 Aug 7, 2024 Thread starter #10,327 Lamomy said: 😹😹😹 kuteseka tena?? Click to expand... Yeah!! lazima ukateseke nje ya mimi.
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Aug 7, 2024 #10,328 Shadow7 said: Kabisa hizi multiple ID ni hatari sana Click to expand... Kabisa ni vichekesho sana Yaaani sijui wana matatizo pahala
Shadow7 said: Kabisa hizi multiple ID ni hatari sana Click to expand... Kabisa ni vichekesho sana Yaaani sijui wana matatizo pahala
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,096 Aug 7, 2024 #10,329 Analyse said: Wewe Ngoja nifanye mpango upate ban tena, ili niwe na amani majukwaani 😅😅 Click to expand... Sasa nikipata ban mtoto humpati huyo ujue 😹😹😹
Analyse said: Wewe Ngoja nifanye mpango upate ban tena, ili niwe na amani majukwaani 😅😅 Click to expand... Sasa nikipata ban mtoto humpati huyo ujue 😹😹😹
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,547 Reaction score 22,982 Aug 7, 2024 #10,330 ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... Asante kwa kunisanua coz mm ni mgeni mkuu
ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... Asante kwa kunisanua coz mm ni mgeni mkuu
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,309 Reaction score 17,839 Aug 7, 2024 Thread starter #10,331 Ms R said: Ngoja niringe kwanza, nikikubali haraka utanisanukia utapeli wangu Click to expand... Usijali mimi ndio kiboko ya kila aina ya tapeli. Nauchukulia utapeli kama mental health. Hapa umepona mrembo wangu!
Ms R said: Ngoja niringe kwanza, nikikubali haraka utanisanukia utapeli wangu Click to expand... Usijali mimi ndio kiboko ya kila aina ya tapeli. Nauchukulia utapeli kama mental health. Hapa umepona mrembo wangu!
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Aug 7, 2024 #10,332 ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu wawe makini sio
ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu wawe makini sio
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Aug 7, 2024 #10,333 ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... Ni kweli mimi ni mmojawapo niliyepata warembo wawil kupitia huu uzi japo nmebadili I'd asinijue kiutan utan hivi hivi tukazama PM mchezo ukawa umeisha
ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... Ni kweli mimi ni mmojawapo niliyepata warembo wawil kupitia huu uzi japo nmebadili I'd asinijue kiutan utan hivi hivi tukazama PM mchezo ukawa umeisha
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,096 Aug 7, 2024 #10,334 cocastic said: mlikokwaanaa nyie watu, mfanye mrudi mkapatane upyaa!! Km kuna ba tamu aliwagonganishaa, mmchangie kumfurushaaa. Woiiiiiih Click to expand... 🤣🤣🤣 kiki ni Lamo nikiingia uzi wowote lazima udamshi machawa wangu wako nyuma.. Huyo mi simpi kiki nataka yy ndo aendelee kunipaisha
cocastic said: mlikokwaanaa nyie watu, mfanye mrudi mkapatane upyaa!! Km kuna ba tamu aliwagonganishaa, mmchangie kumfurushaaa. Woiiiiiih Click to expand... 🤣🤣🤣 kiki ni Lamo nikiingia uzi wowote lazima udamshi machawa wangu wako nyuma.. Huyo mi simpi kiki nataka yy ndo aendelee kunipaisha
Ms R JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 10,547 Reaction score 22,982 Aug 7, 2024 #10,335 kiwatengu said: Usijali mimi ndio kiboko ya kila aina ya tapeli. Nauchukulia utapeli kama mental health. Hapa umepona mrembo wangu! Click to expand... nilijua utaniogopa ila mimi ndo nmeanza kukuogopa sasa,,hata hutishiki
kiwatengu said: Usijali mimi ndio kiboko ya kila aina ya tapeli. Nauchukulia utapeli kama mental health. Hapa umepona mrembo wangu! Click to expand... nilijua utaniogopa ila mimi ndo nmeanza kukuogopa sasa,,hata hutishiki
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,309 Reaction score 17,839 Aug 7, 2024 Thread starter #10,336 Vincenzo Jr said: 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu wawe makini sio Click to expand... Halafu yanaishia humu humu. hakuna kuanzishiana uzi hapa
Vincenzo Jr said: 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Watu wawe makini sio Click to expand... Halafu yanaishia humu humu. hakuna kuanzishiana uzi hapa
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Aug 7, 2024 #10,337 Mr Handsome!! Mbona tulipatana bila kuingia humu? Em fanya ukuje hapa tupatane upyaa!! Ukija hapa ndo ntakukubali turudianee, ila kule tsup nehiii.
Mr Handsome!! Mbona tulipatana bila kuingia humu? Em fanya ukuje hapa tupatane upyaa!! Ukija hapa ndo ntakukubali turudianee, ila kule tsup nehiii.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,096 Aug 7, 2024 #10,338 Analyse said: Ni mwendo wa kukopa tu 😅 Click to expand... Apostle acha tabia mbaya y’a kukopa 🤣🤣🤣 Bff utamkosa ujue??
Analyse said: Ni mwendo wa kukopa tu 😅 Click to expand... Apostle acha tabia mbaya y’a kukopa 🤣🤣🤣 Bff utamkosa ujue??
mbarika JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 7,258 Reaction score 9,728 Aug 7, 2024 #10,339 ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... Ni kweli mimi ni mmojawapo niliyepata warembo wawil kupitia huu uzi japo nmebadili I'd asinijue kiutan utan hivi hivi tukazama PM mchezo ukawa umeisha
ERoni said: Kuna watu walichapana kupitia huu uzi, tena kizazi kile...ngoja mlianzishe tena tuone🤣🤣 Huu uzi na ule wa selfika ni hatari kwa afya ya maungo..sijui siku hizi. Click to expand... Ni kweli mimi ni mmojawapo niliyepata warembo wawil kupitia huu uzi japo nmebadili I'd asinijue kiutan utan hivi hivi tukazama PM mchezo ukawa umeisha
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Aug 7, 2024 #10,340 kiwatengu said: Halafu yanaishia humu humu. hakuna kuanzishiana uzi hapa Click to expand... Kabisa wasifanye mambo ya Simba na yanga
kiwatengu said: Halafu yanaishia humu humu. hakuna kuanzishiana uzi hapa Click to expand... Kabisa wasifanye mambo ya Simba na yanga