Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,245 Aug 7, 2024 #10,241 kiwatengu said: π€£π€£π€£ Click to expand... Alivyo muhuni anataka eti id zangu ziungwe
Analyse JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 17,641 Reaction score 47,664 Aug 7, 2024 #10,242 Lamomy said: Analyse uzi ndio huu njoo umtupie mistari bff wangu Missy Gf niko hapa kukusapoti uadui naweka pembeni πΉ Click to expand... Kwenda zako, huna jema na Mimi wewe π π
Lamomy said: Analyse uzi ndio huu njoo umtupie mistari bff wangu Missy Gf niko hapa kukusapoti uadui naweka pembeni πΉ Click to expand... Kwenda zako, huna jema na Mimi wewe π π
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,245 Aug 7, 2024 #10,243 kiwatengu said: Huyo Mwanaume Mwanamke atakuwa ametaka mwenyewe na atongozwe tu π€£π€£ Click to expand... Huyo hafai mkuuππ€£ππ
kiwatengu said: Huyo Mwanaume Mwanamke atakuwa ametaka mwenyewe na atongozwe tu π€£π€£ Click to expand... Huyo hafai mkuuππ€£ππ
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Aug 7, 2024 Thread starter #10,244 ephen_ said: Kumbe sumbai enzi zake alikua ni sukari ya warembo? Basi mimi namuona kazeeka sanaaaπ Click to expand... Huyo walikuwa wanampigania sana, kipindi hicho yuko na cheo kikubwa pale TBL
ephen_ said: Kumbe sumbai enzi zake alikua ni sukari ya warembo? Basi mimi namuona kazeeka sanaaaπ Click to expand... Huyo walikuwa wanampigania sana, kipindi hicho yuko na cheo kikubwa pale TBL
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,245 Aug 7, 2024 #10,245 Analyse said: Kwenda zako, huna jema na Mimi wewe π π Click to expand... π€£π€£ππππππππππππππ€£πππππ
Analyse said: Kwenda zako, huna jema na Mimi wewe π π Click to expand... π€£π€£ππππππππππππππ€£πππππ
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 7, 2024 #10,246 sumbai said: Nimekatazwa mkweeee. Kuna binti ananiendesha saana Click to expand... πNitambulishe kwa mkwe wangu! Ni yuleyule au mwingineπ
sumbai said: Nimekatazwa mkweeee. Kuna binti ananiendesha saana Click to expand... πNitambulishe kwa mkwe wangu! Ni yuleyule au mwingineπ
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,365 Aug 7, 2024 #10,247 Aii kumbe kuna uzi wa double double humu
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Aug 7, 2024 Thread starter #10,248 Vincenzo Jr said: Huyo hafai mkuuππ€£ππ Click to expand... Sasa kwanini anajigeuza wa kike?
Vincenzo Jr said: Huyo hafai mkuuππ€£ππ Click to expand... Sasa kwanini anajigeuza wa kike?
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Aug 7, 2024 #10,249 kiwatengu said: Aisee Mambo vipi Sumbai, sukari ya warembo? Click to expand... Mkuu kwema saana hebu mfanyie interview siku moja ephen_
kiwatengu said: Aisee Mambo vipi Sumbai, sukari ya warembo? Click to expand... Mkuu kwema saana hebu mfanyie interview siku moja ephen_
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Aug 7, 2024 #10,250 ephen_ said: πNitambulishe kwa mkwe wangu! Ni yuleyule au mwingineπ Click to expand... Jina lake linaanzia E linaishia na n_
ephen_ said: πNitambulishe kwa mkwe wangu! Ni yuleyule au mwingineπ Click to expand... Jina lake linaanzia E linaishia na n_
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,365 Aug 7, 2024 #10,251 Vincenzo Jr said: Huyo hafai mkuuππ€£ππ Click to expand... Hahahaha kumbe na wewe ni kahuni tu ntamwambia dada fake p
Vincenzo Jr said: Huyo hafai mkuuππ€£ππ Click to expand... Hahahaha kumbe na wewe ni kahuni tu ntamwambia dada fake p
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,245 Aug 7, 2024 #10,252 kiwatengu said: Sasa kwanini anajigeuza wa kike? Click to expand... Ni utoto una msumbua mkuu
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Aug 7, 2024 Thread starter #10,253 sumbai said: Mkuu kwema saana hebu mfanyie interview siku moja ephen_ Click to expand... Hawa vijana wa recently ni waoga sana aisee. Hizi mambo nilizipokea toka kwa uran ndio mtaalamu wa Interview π€£π€£π€£
sumbai said: Mkuu kwema saana hebu mfanyie interview siku moja ephen_ Click to expand... Hawa vijana wa recently ni waoga sana aisee. Hizi mambo nilizipokea toka kwa uran ndio mtaalamu wa Interview π€£π€£π€£
Lucha JF-Expert Member Joined Aug 24, 2018 Posts 20,324 Reaction score 62,216 Aug 7, 2024 #10,254 Nime preview had page ya 500 sijafanikiwa kuona demu akitokea demu yoyote nishtueni wakuu nataka kumtia mtu vocals ambazo hajawahi kuziskia yan
Nime preview had page ya 500 sijafanikiwa kuona demu akitokea demu yoyote nishtueni wakuu nataka kumtia mtu vocals ambazo hajawahi kuziskia yan
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 16,787 Reaction score 61,262 Aug 7, 2024 #10,255 sumbai said: Jina lake linaanzia E linaishia na n_ Click to expand... Ukilewa usichat mkwe!π
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,304 Reaction score 17,831 Aug 7, 2024 Thread starter #10,256 Lucha said: Nime preview had page ya 500 sijafanikiwa kuona demu akitokea demu yoyote nishtueni wakuu nataka kumtia mtu vocals ambazo hajawahi kuziskia yan Click to expand... Acha utani π€£π€£π€£
Lucha said: Nime preview had page ya 500 sijafanikiwa kuona demu akitokea demu yoyote nishtueni wakuu nataka kumtia mtu vocals ambazo hajawahi kuziskia yan Click to expand... Acha utani π€£π€£π€£
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,245 Aug 7, 2024 #10,257 Hope urassa said: Hahahaha kumbe na wewe ni kahuni tu ntamwambia dada fake p Click to expand... Afu mwambie nampenda sana aache kunibania Bania nakosa Raha Mimi jamani anatembeza na roho yangu au mpaka nimfate na treni la umeme hapo Dodoma
Hope urassa said: Hahahaha kumbe na wewe ni kahuni tu ntamwambia dada fake p Click to expand... Afu mwambie nampenda sana aache kunibania Bania nakosa Raha Mimi jamani anatembeza na roho yangu au mpaka nimfate na treni la umeme hapo Dodoma
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,245 Aug 7, 2024 #10,258 Lucha said: Nime preview had page ya 500 sijafanikiwa kuona demu akitokea demu yoyote nishtueni wakuu nataka kumtia mtu vocals ambazo hajawahi kuziskia yan Click to expand... ππ€£ππππππππππππππ
Lucha said: Nime preview had page ya 500 sijafanikiwa kuona demu akitokea demu yoyote nishtueni wakuu nataka kumtia mtu vocals ambazo hajawahi kuziskia yan Click to expand... ππ€£ππππππππππππππ
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,762 Reaction score 50,192 Aug 7, 2024 #10,259 Lamomy said: πΉπΉπΉ huyo tena Mtoto halali na hela ndio mtunza mafile?? Wala simfahamu usitake kunigombanisha na mkeo mimi nikapigwa bure naheshimu mahusiano yβa watu.!! Click to expand... Acha uoga wewe! Mi ntakuletea uji na maji
Lamomy said: πΉπΉπΉ huyo tena Mtoto halali na hela ndio mtunza mafile?? Wala simfahamu usitake kunigombanisha na mkeo mimi nikapigwa bure naheshimu mahusiano yβa watu.!! Click to expand... Acha uoga wewe! Mi ntakuletea uji na maji
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,586 Reaction score 11,365 Aug 7, 2024 #10,260 Vincenzo Jr said: Afu mwambie nampenda sana aache kunibania Bania nakosa Raha Mimi jamani anatembeza na roho yangu au mpaka nimfate na treni la umeme hapo Dodoma Click to expand... Sasa unakwama wapi na wewe si umwambie mwenyewe
Vincenzo Jr said: Afu mwambie nampenda sana aache kunibania Bania nakosa Raha Mimi jamani anatembeza na roho yangu au mpaka nimfate na treni la umeme hapo Dodoma Click to expand... Sasa unakwama wapi na wewe si umwambie mwenyewe