Ninaye bhana acha kutaka kujua yuko wapi yeye huwaga atembelei maeneo haya
na huwaga ni mpole sana hivyo hawezi makeke ya huku cc na ukitaka kumjua
vuta subira utamfahamu tu kwanini unakuwa na kiherehere hivyo
Excel ana neno kwangu mwache avumilie kwani mvumilivu hula mbivu