Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 29, 2014 #5,521 First Born said: Jamani mamaako hapendi shikamoo, ukimwambia anasema shika mwenyewe (usipe kelele akasikia mwisho wa sikanyimwa mtoto) Click to expand... Unyimwe mara ngapi we kijana mbona huelewi? Yan we unakuja kwa mamkwe umevaa shati la mikono mifupi ebo...
First Born said: Jamani mamaako hapendi shikamoo, ukimwambia anasema shika mwenyewe (usipe kelele akasikia mwisho wa sikanyimwa mtoto) Click to expand... Unyimwe mara ngapi we kijana mbona huelewi? Yan we unakuja kwa mamkwe umevaa shati la mikono mifupi ebo...
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,309 Reaction score 17,839 May 29, 2014 Thread starter #5,522 janeth1 said: afu wewe unatongoza mama'ngu mbele yangu hadi nikapatwa hasira. Click to expand... hofu yangu asije tokea mhuni akatongoza mama mwama
janeth1 said: afu wewe unatongoza mama'ngu mbele yangu hadi nikapatwa hasira. Click to expand... hofu yangu asije tokea mhuni akatongoza mama mwama
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 29, 2014 #5,523 kiwatengu said: hofu yangu asije tokea mhuni akatongoza mama mwama Click to expand... we me simo uku nimekatazwa ujue afu we unaniongelesha.
kiwatengu said: hofu yangu asije tokea mhuni akatongoza mama mwama Click to expand... we me simo uku nimekatazwa ujue afu we unaniongelesha.
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 29, 2014 #5,524 'Valentina' said: Hee sasa ngoja nami nimwite my dady Baba V Click to expand... mwite tumsimulie unayoyafanya. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
'Valentina' said: Hee sasa ngoja nami nimwite my dady Baba V Click to expand... mwite tumsimulie unayoyafanya.
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 29, 2014 #5,525 First Born said: Jamani mamaako hapendi shikamoo, ukimwambia anasema shika mwenyewe (usipe kelele akasikia mwisho wa sikanyimwa mtoto) Click to expand... yule aleshushuliwa na bmkubwa ni mkorofi lakn shkamoo anazpokea vizuri tu.
First Born said: Jamani mamaako hapendi shikamoo, ukimwambia anasema shika mwenyewe (usipe kelele akasikia mwisho wa sikanyimwa mtoto) Click to expand... yule aleshushuliwa na bmkubwa ni mkorofi lakn shkamoo anazpokea vizuri tu.
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 May 29, 2014 #5,526 Khantwe said: Unyimwe mara ngapi we kijana mbona huelewi? Yan we unakuja kwa mamkwe umevaa shati la mikono mifupi ebo... Click to expand... Shikamo mama!
Khantwe said: Unyimwe mara ngapi we kijana mbona huelewi? Yan we unakuja kwa mamkwe umevaa shati la mikono mifupi ebo... Click to expand... Shikamo mama!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 29, 2014 #5,527 First Born said: Shikamo mama! Click to expand... Kaa mbali na mimi kijana...mwanangu huchukui hata ukijipendekeza
First Born said: Shikamo mama! Click to expand... Kaa mbali na mimi kijana...mwanangu huchukui hata ukijipendekeza
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 May 30, 2014 #5,528 Khantwe said: Kaa mbali na mimi kijana...mwanangu huchukui hata ukijipendekeza Click to expand... Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo! hope nimeanza kuwa na vigezo.
Khantwe said: Kaa mbali na mimi kijana...mwanangu huchukui hata ukijipendekeza Click to expand... Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo! hope nimeanza kuwa na vigezo.
Fisherscom JF-Expert Member Joined Mar 13, 2008 Posts 1,884 Reaction score 952 May 30, 2014 #5,529 First Born said: Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo! hope nimeanza kuwa na vigezo. Click to expand... Imekula kwako hiyo swahiba....shati la mikono mirefu 'means' mkwanja banaa..... Watanashati mbona wengi tuu na mashati yao?!
First Born said: Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo! hope nimeanza kuwa na vigezo. Click to expand... Imekula kwako hiyo swahiba....shati la mikono mirefu 'means' mkwanja banaa..... Watanashati mbona wengi tuu na mashati yao?!
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 30, 2014 #5,530 Fisherscom said: Imekula kwako hiyo swahiba....shati la mikono mirefu 'means' mkwanja banaa..... Watanashati mbona wengi tuu na mashati yao?! Click to expand... Sema wewe maana nahis kichwa hakijamkaa vizuri huyu...
Fisherscom said: Imekula kwako hiyo swahiba....shati la mikono mirefu 'means' mkwanja banaa..... Watanashati mbona wengi tuu na mashati yao?! Click to expand... Sema wewe maana nahis kichwa hakijamkaa vizuri huyu...
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 30, 2014 #5,531 First Born said: Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo! hope nimeanza kuwa na vigezo. Click to expand... chezea kutaka mke wewe...
First Born said: Nimeshanunua shati la mikono mirefu, suruali ya kitambaa na viatu vya ngozi. nimekubebea na kazawadi kidogo! hope nimeanza kuwa na vigezo. Click to expand... chezea kutaka mke wewe...
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 May 30, 2014 #5,532 Khantwe said: Sema wewe maana nahis kichwa hakijamkaa vizuri huyu... Click to expand... Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2!
Khantwe said: Sema wewe maana nahis kichwa hakijamkaa vizuri huyu... Click to expand... Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2!
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 30, 2014 #5,533 First Born said: Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2! Click to expand... naona mtu na mkwe wanajadili mambo! Good.
First Born said: Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2! Click to expand... naona mtu na mkwe wanajadili mambo! Good.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 30, 2014 #5,534 First Born said: Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2! Click to expand... Mmmh kweli eeh? Bas njoo badae tuongee mkwe
First Born said: Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2! Click to expand... Mmmh kweli eeh? Bas njoo badae tuongee mkwe
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 30, 2014 #5,535 janeth1 said: naona mtu na mkwe wanajadili mambo! Good. Click to expand... We mtoto kila muda unataka kufuatana na mimi....si utamuua mkwe wangu kwa njaa wewe...
janeth1 said: naona mtu na mkwe wanajadili mambo! Good. Click to expand... We mtoto kila muda unataka kufuatana na mimi....si utamuua mkwe wangu kwa njaa wewe...
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 30, 2014 #5,536 Khantwe said: We mtoto kila muda unataka kufuatana na mimi....si utamuua mkwe wangu kwa njaa wewe... Click to expand... mama nakupenda wasije wakakuteka tubaki pekeetu kama ambavyo baba katuacha lazima nikulinde bmkubwa.
Khantwe said: We mtoto kila muda unataka kufuatana na mimi....si utamuua mkwe wangu kwa njaa wewe... Click to expand... mama nakupenda wasije wakakuteka tubaki pekeetu kama ambavyo baba katuacha lazima nikulinde bmkubwa.
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 30, 2014 #5,537 First Born said: Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2! Click to expand... naona umemlainisha bmkubwa safi sana siri yako lakini asije akanisikia haya maneno.
First Born said: Agggghhh! sa muda wote unanicheleweshea kwa nin? niko vema wewe! hako ka zawadi kalikuwa funguo za mark 2! Click to expand... naona umemlainisha bmkubwa safi sana siri yako lakini asije akanisikia haya maneno.
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 30, 2014 #5,538 janeth1 said: mama nakupenda wasije wakakuteka tubaki pekeetu kama ambavyo baba katuacha lazima nikulinde bmkubwa. Click to expand... Nashukuru my daughter....ninyi ndo mboni za macho yangu
janeth1 said: mama nakupenda wasije wakakuteka tubaki pekeetu kama ambavyo baba katuacha lazima nikulinde bmkubwa. Click to expand... Nashukuru my daughter....ninyi ndo mboni za macho yangu
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 59,468 Reaction score 119,623 May 30, 2014 #5,539 janeth1 said: naona umemlainisha bmkubwa safi sana siri yako lakini asije akanisikia haya maneno. Click to expand... Usiwe na shaka me hata sijasikia
janeth1 said: naona umemlainisha bmkubwa safi sana siri yako lakini asije akanisikia haya maneno. Click to expand... Usiwe na shaka me hata sijasikia
janeth1 JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,151 Reaction score 768 May 30, 2014 #5,540 Khantwe said: Nashukuru my daughter....ninyi ndo mboni za macho yangu Click to expand... sawa mam love you sana.
Khantwe said: Nashukuru my daughter....ninyi ndo mboni za macho yangu Click to expand... sawa mam love you sana.