okkk huu uzi nimeucheeekiii kwa muda sasa........kwa hiyo leo na mimi nataka kupiga mtu tongozo so naomba mratibu wa hii sredi anipe mwongozo na aniletee list ya walimbwende singo ili nianze kazi.....tena na hivi ninamuda sijapiga mtu tongozo naona na ujuzi umepungua......