Eli79 come here meen! U nd to gat me better hahah! In mchombezo voice! Afu Excel kaa mbal na mim! Usiinglie anga zangu ntakutungua ka mindege ya marekan, pakstan
Vitu vya kawaida hivyo! Ila mbona unaharaka sana? Ulitakiwa uniambie hivyo ukiwa na khanga moja umetoka kuoga, kisha unaniomba huku unarembua macho! Usijari njoo basi home umaanishe unachokisema, love u more.