Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
nasababisha ki slow motion, subiri mpaka uone kalegea ndiyo uje uchungulie..

hahahaaaaa!!! aisee mbona wanivutia? we noma mzee.. ila angalia usijisahau! hakana ujanja tena haka ka njiwa kako!
 
uchochezi weka pembeni wewe. niache na wngu

aaah! mi mzee unadhani niko hapo.. walaaa!! jipeni shida wenyewe huko... ila mkiishiwa pesa, usisite kumwambia charty anibeep kwa m-pesa! sawa eenh?
 
Last edited by a moderator:
aaah! mi mzee unadhani niko hapo.. walaaa!! jipeni shida wenyewe huko... ila mkiishiwa pesa, usisite kumwambia charty anibeep kwa m-pesa! sawa eenh?

si tunakula raha natural hayo ma MPesa unayajua wewe, ahh hivi unadhani kumbatio la charty ni la kitoto?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…