Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Hahahaaaaa....viongozi regerege huzalisha serikali regerege ndo maana hata rwanda kenya na ug wameamua kuitenga tz
 
Kwa kweli Ndugai kadhihirisha kwanin anashindwa kuzizisimamia kanuni bungeni hana uvumilivu kabisa pale mwenzake anapoongea, halafu pia kitu kikubwa kinachomsumbua Ndugai ni kuwa anashindwa kujenga hoja kutokana na Kuongozwa na jazba pale anapokuwa ameelemewa.
 
Kama ndugai alivyodaifu bungeni hata mtangazaji Joseph Mpangala ni dhaifu studio, ndugai anaongea mahali asipopaswa kuongea na wala hazuiwi anavamia maongezi ya Mhe. Mnyika
Nilisema star TV ni ya mwenyekiti wa ccm mkoa Mwanza
ni kawaida kwa ndugai, hata alivyofanya mdahalo na mh. Lissu kuingilia ni kawaida kwake!
 
Leo Ndugai ameonyesha udhaifu mkubwa sana,sijui nani kamshauri akubali huu mjadala wakati hajajiandaa,angetafuta ujanja ufanyike siku nyingine akiwa na nondo za kutosha,

Leo hakuwa na wale wazee wa ndioooo wanaompa support anapofanya ujinga wake,na huwa anatoa kauli za kujihami huu ndio udhaifu mkubwa leo amethibitisha hilo,
 
Kumbe kulikuwa na mashindano nilikuwa sifahamu.


Unadhani walikuwa na agenda moja? kama zilitofautiana basi mwenye nani alijenga utetezi mzuri?

Mwenye hoja thabiti na bora kuitetea agenda yake atakuwa bora na kwamaana nyingine tutasema ameshinda

Mnyika amethibisha maelezo yake mengi kwa evidence/nyaraka........

Ndugai maneno matupu tena mengi uzoefu....., umri........
Tunaangalia hoja mambo ya kukaa bungeni miaka 50

au uzee wa mtu inatusadia nini sisi watanzania......


Mnyika ameshinda na ndugai ameshindwa zaidi, zaidi kaonesha kupwaya sana.
 
Kumbe mnyika ndiye alikuwa anamuongoza mbowe na kumzuia asikae chini kweli akili za mbowe zinamtosha mwenyewe.
mbowe ndo kiongozi mzuri anaheshimu maamuzi ya wafuasi pia, sio maccm hayaheshimu maoni ya wanachama wao...
 
sasa leo kila mtu ameona jinsi Ndugai alivyo dhaifu kabisa na inferiority complex kabisa na ameonesha jinsi alivyo dhaifu kabisa na bunge haliwezi kabisa.

kwakweli ni vyema akachaguliwa naibu mwingine maana job kiti hakiwezi kabisa na anapwaya sana, angalieni anavyo panic.

JOB NDUGAI ALIPANGWA KUVURUGA MJADALA KABISA NA LEO KADHIHIRISHA KABISA.
 
ha ha ha....... wakuu ,mjadala sikuuona kwenye TV lakini kwa kadri mlivyo uleta kwa kweli leo nimecheka sana . Naogopa kuchangia kuhusu ****** alinisababishia bani sina hamu nae kabisa
 
Ndugai ameiva kiuongozi ndani ya Bunge anastahili 2015 kuwa SPIKA hivyo atapambana vizuri na vijana wanaoingia bungeni wakiwa wamekunywa VIROBA
kweli wewe ni wa enzi za mkoloni, labda awe spika wa kongwa ..na sio Tanzania!
 
Kuna jambo moja la msingi kabisa nliloligundua kwenye mazungumzo ya leo..

Jamani Ndugai ana jazba sana...Anapata moto haraka sana...Anataka heshima hata pasipostahili...Hataki kukosolewa
 
Kiukweli uwezo wa Ndugai ni mdogo sana anashindwa kujifunza hata kwa bi mkora au Jenister..... Mwanaume anapaniki kirahisi hivi.
 
Kuna jambo moja la msingi kabisa nliloligundua kwenye mazungumzo ya leo..

Jamani Ndugai ana jazba sana...Anapata moto haraka sana...Anataka heshima hata pasipostahili...Hataki kukosolewa

yani ndugai kapewa sindano moja tuu udhaifu wake wote hadharani. bila shaka HKigwangalla naye kaona ndugai alivyo panic kama mtoto.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom