Namshangaa Ngugai amesema mwenyewe kuwa wapinzani wanamuona kama ni mnyonge na ndio maana nawaonyesha kuwa yeye sio mnyonge. Kwa taafsiri ya haraka kama Mnyika alivyosema ni kwamba Ndugai ana "inferiority Complex" anadhani anadharauliwa ndio maana anajihami..tabia hiyo inapoteza mwelekeo wa mtu kujiamini na kuanza kutenda kwa jazba akidhani watu wanamuonea. Mnyika akaonyesha kufafanua kauli ya Ndugai, yeye analalamika kamba katukanwa wakati ni yeye mwenyewe aliyedai watu wamuona mnyonge. Kwa kweli Ngugai amenishangaza sana, au hakujua athari ya maneno yake?