Namkubali sana Ndugai anajenga hoja ni mtu makini.
Mbona mnyika anatukana tu hivi chadema wananini.
Kwanini Ndugai anang'ang'ania kuhusu uzoefu na umri wa kisiasa???
eti anasema mrema ni mtu mzima zaidi ta mbowe kwa hyo alipaswa kupewa nafasi ya kusikilizwa kwanza kwa kigezo ana uzoefu mkubwa sana bungeni...hyo siyo hoja au kigezo cha yeye kuwa na maamzi ya kumkalisha mbowe chini. Hakika nimegundua ndugai ni akuna chochote kichwani
Mbona mnyika anatukana tu hivi chadema wananini.
Namkubali sana Ndugai anajenga hoja ni mtu makini.
Mbona mnyika anakurupuka kama mtot mdogo hajakua tu au naye kama lisu anaendelea na dawa?
Kumbe Mbowe huwa anaogozwa na Mnyika bungeni, akiambiwa kaa anaka Mnyika akimwambia hakuna kukaa Mbowe anatii sheria.mada hapa sio urafiki wala umri bali ni kanuni za bunge.
Ndugai kuzungumza maswala yasiyohusika na mjadala ni kushindwa kwa hoja.
Ndugai amewatia aibu sana CCM.
Kumbe Mbowe bungeni anaongozwa na Mnyika, duu!! KUB ni mzigo.
Mkuu hebu nijuze mie nipo mbali na TV.
Jenista muhagama ana uafadhari mkubwa kuliko spika na naibu wake