mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,789
- 7,174
kama kweli ni kamera, camera ndizo zinaandaa policcm waandaliwe kama vile kuna kitu, askar kanzu nao ni wabunge? kwanini wawe wepesi hivi kuingia ndani utafikri kuna vita.?..mh,,.?
Kama suala ni uenyekiti saizi yake wenyeviti wa TADEA, UDP,TLP.Tumia kichwa kufikiri badala ya kufugia nywele.
Ndugai ana akili ndogo sana, hana hadhi ya kukutanishwa na kiongozi mkubwa kama Mbowe!
Mbowe vs Jk - hapo ndo sawa maana wote ni wenyeviti wa chama.
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndugai asije akajisahau akamtoa nje Mnyika...!! Huyo jamaa akishapanic anakuwa kama kichaa....!
Kumbe haya magamba dawa yake MIDAHARO tu,Yani ni koroma kabisa haya jamaa.
Kamanda inawezekana hata wazazi wako walikuwa na akili za hivyo Chadema imeundwa miaka 22 iliyopita.
Mtangazaji wa upande wa Dar amepwaya sana, wakati Ndugai akiongea Mnyika ananyamaza ila akipewa Mnyika nafasi Ndugai anamkatisha kuongea.
Hii inaonyesha wazi kuwa Ndugai anapenda sana Ubabe ndio maana anashindwa kuongoza Bunge. Halafu anadai kuwa eti huwa anajiona kwamba Wabunge wa Upinzani wanamuona Dhaifu.
Kama tu leo pale Star Tv Ndugai ameshindwa kuonyesha uvumilivu wa kumpa Mnyika nafasi ya kujibu hoja zake wakati yeye akipewa kuongea Mnyika ananyamaza,je unadhani inakuaje pale bungeni anapokua kakalia kiti?
Mnyika tangu anze kuongea yeye alikuwa ni kutukana tu na kejeli kama kaokotwa vile.
Mnyika tangu anze kuongea yeye alikuwa ni kutukana tu na kejeli kama kaokotwa vile.
Kwa mujibu wa Ndugai,
ambaye amekiri kuwa "watu wanadhani yeye ni dhaifu kuliko wote...hivyo
anawahakikishia kuwa yeye sio dhaifu..." (a case for inferiority
complexity), kuna kanuni zake ambazo huzitumia na alirudia mara nyingi
ktk mjadala:
1) Kanuni ya kufuata umri (kanuni ya kumlinganisha Agustine Mrema na F.
Mbowe)
2) Kanuni ya kufuata uzoefu wa kuwepo bungeni/mjengoni (yeye ana miaka
15 wakati Mnyika ni mzoefu wa miaka 3)
3) Kanuni ya kuwa kiti cha spika ni untouchable unapproachable kwa
Wapinzani (hasa CHADEMA)
4) Kanuni ya kuwa Kamati za Bunge ndio Bunge proper na kila kitu kiwe
kinamalizika kule,
5) Kanuni ya kuwa ikiwa wewe si mjumbe wa Kamati husika basi usichangia
wala kuzungumzia mambo ya hiyo Kamati
6) Kanuni ya kuwa CHADEMA (literary) wanafanya fujo kwa vile kuna kamera
zenye kunasa na kurusha vikao vya bunge, na kwa busara za Ndugai
mijadala isirushwe live ili kuondoa "fujo".
Mwisho, Ndugai ameshindwa kabisa kwa mara nyingine kujifunza na kukubali
kuwa ana madhaifu mengi na upungufu mkubwa wa hekima na weledi. Kwa
kifupi Ndugai ameonesha yeye ni Pinda na Kikwete in ONE!
Mkuu kwenye mjadala wa ITV wengi waliona jinsi gan LISU alimgaragaza huyu jamaa kwa hoja, watu walisema huyu saizi yake labda MNYIKA watu tukapinga sana leo imedhihrisha kabisa MNYIKA kwa Hoja za nguvu kamwacha mbali sana NDUGAI huwezi mshindaninisha NDUGAI na MNYIKAFinal score: Mnyika 5 Ndugai 0
ndugai bado sana
Kumbe kulikuwa na mashindano nilikuwa sifahamu.Mkuu kwenye mjadala wa ITV wengi waliona jinsi gan LISU alimgaragaza huyu jamaa kwa hoja, watu walisema huyu saizi yake labda MNYIKA watu tukapinga sana leo imedhihrisha kabisa MNYIKA kwa Hoja za nguvu kamwacha mbali sana NDUGAI huwezi mshindaninisha NDUGAI na MNYIKA