Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Kwa hoja ndungai kachemsha na kushindwa kuvumilia ukweli alopewa na Mnyika na kuanza kuongea bila mpangilio, magamba kwa hoja mmeishiwa mjipange

Kwani wamemaliziaje maana mimi nilikuwa ninaangalia mambo mengine mule mule mwenye kipindi hadi mwisho wa kipindi.
 
Mnyika alionyesha udhaifu mkubwa mno, hana uvumilivu wala subira, ndugai akianza kuongea yy anaanza kupiga kelele ili ndugai asisikike vzr
 
Mnyika alionyesha udhaifu mkubwa mno, hana uvumilivu wala subira, ndugai akianza kuongea yy anaanza kupiga kelele ili ndugai asisikike vzr
Kwa kweli leo ndugai kawadhalilisha ccm mno,natumai mutaona haja ya kumpa semina ya maana,manake hata watoto wangu wadogo leo walikuwa wanamshangaa huyu kubwa zima anavyokosa ustaarabu.
 
Ndugai amezalilisha chama chetu cha CCM
#Ex Tanzania Simper aliquid novi#
 
mh. Ndugae amepokea memo na kuna wakati alikuwa akisoma jambo kwenye simu yake. Kama mahojiano haya yamemwelemea kiasi cha kuhitaji ''busta'' je, katika kuongoza bunge tukufu inakuwaje? Kama kashindwa kumhimili mtu 1 je wale mia tatu na zaidi inakuwaje?
nimeshuhudia memo zaidi ya mbili akipokea........
 
Hivi inawezekana kupata hayo yaliyojiri in the video form na kuwekewa hapa wengine tunaoshindwa kuwa karibu na luninga wakati huo wa kipindi tukaweza kufaidi sikiliza/kuangalia hayo mahojiano kupitia jamiiforums??
c:c- Invisible, Paw
 
Last edited by a moderator:
Sikuamini macho na masikio yangu pale Ndugai aliposema kuwa matangazo ya vikao vya Bunge kuonyeshwa moja kwa moja (live) ndio sababu ya Kambi ya upinzani kupinga hoja kama ya siku ile (kumbe hapendi hoja zenye maslahi kwa wananchi). Kumbe huyu jamaa na wenzake CCM/Serikali/Kiti ndio walikula njama kuondoa matangazo 'live' na kulazimisha camera za TBC tu ili waonyeshe wanachotaka wao. Aibu yao.
 
Mnyika alionyesha udhaifu mkubwa mno, hana uvumilivu wala subira, ndugai akianza kuongea yy anaanza kupiga kelele ili ndugai asisikike vzr

Huna hata aibu, hayo unayosema as if hiyo Startv na huo mjadala ulikuwa unatazama pekee yako na mkeo/mumeo chumbani.

Huyo Ndugai alikuwa kama mtoto mdogo asiyejua utaratibu wowote. Muda wote alikuwa anaingilia wakati Mnyika anazungumza, na anajaziba sana.

Unamtetea kw weupe uliojaa kichwani mwako, and note that kilichofanyika leo ktk mjadala ule ni fundisho kwa Ndugai kuwa anatakiwa ajue namna na kujibu hoja vizuri na sio kuingilia mazungumzo ya mtu mwingine.
 
Job atakuwa hayupo sawa.
Yaani matatizo yooote yale ndani ya bunge,eti chanzo chake ni uwepo wa kamera tuu!Hii akili hata mtoto aliyefaulu kwa msaada wa marekebisho ya matokeo ya mwaka jana,hawezi fikiria hivyo.!

Janja yao tumeigundua si wanataka bunge lisionyeshe live ili wafiche upuuzi wao, maana agenda yao wanataka bunge lisiwe live eti kisa wabunge wa upinzani wanataka umaarufu
 
leteni mambo wakubwa mi huku kapamisya kyela hakuna umeme jf ndo mkombozi wetu sisi walima mpunga tuiopo huku mashambani
Blucelee, umponieghe lelo unkamu gwitu jo mwakipesile! Mpe hi Rc wa kale John Mwakipesile hapo Kapamisya! Na ile maktaba ya shule ya msingi mmekamilisha?
 
Ndugai kakiweka uchi chama chake,jmaa kichwani ni nafuu ya nazi,anataka ukubwa kwenye siasa,hahahahaha,kwenye siasa ukubwa huja kwa weledi,hekima na upeo mkubwa wa kuchanganua mambo,mafisadi waliomweka kwa sasa naweza sema wametenda haki kabisa kumweka huyu bwana kwasababu walikuwa wanaumiza sana nchi yetu lakini kwa huyu ndugai wanaliumiza lichama lao wenyewe,na bado nduagai atafanya mambo yake tena tusubirie bunge lijalo tu.
Na kwa ushauri tu kwa mh.job ni kuwa yeye anafaa sana kuwa kiongozi wa vikao vya kiukoo,kule anaweza akafanya vizuri zaidi na si kuwa naibu spika wa bunge ambalo pamoja na spika wake hakuna legacy yoyote wanayoiacha kwa kizazi hiki na kijacho.
 
Wakuuu!
anayejua kuweka ile dabate kwenye youtube afanye hivyo kwa faida ya wengi ambao hawakufanikiwa kuiona.
tafadhal!
 
Back
Top Bottom