Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,879
Ndugai kakasirika baada ya kuambiwa na mnyika kuwa ni mnyonge....dhalili
Amesema mwenyewe Ndugai kwanza kwa maelezo yako!
Ndugai kakasirika baada ya kuambiwa na mnyika kuwa ni mnyonge....dhalili
Ndugai adai kua anahisi Chadema wanamdharau, hivyo nae ndio hua anawaonyesha kua ye ni nani!
Chadema wanachotafuta ni pesa tu hawana cha maana kwa jamii.
Ndugai janga hilo
Nyerere alisema Rais Mwinyi ni kiongozi mpole but ni dhaifu....Lol.. Mnyikaaaaa
Kweli ndugai ni mburura... Nani kamwambia kwenye siasa kuna ukaka...kila m2 ni sawa
Mkuu hebu nijuze mie nipo mbali na TV.Nipo namuangalia Job Ngugai aka kiboko wa chadema.
Maada. Vurugu bungeni ni kupwaya kwa sheria/kazini?
Mnyika anahitaji hekima na kujenga hoja za mshiko; YUPO MAFUNZONI
>Kwa hiyo hata Jk ni hivyo hivyo!