Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Live Star TV: John Mnyika na Job Ndugai

Neno inferiority complex nusura lizue tafrani....
 
Kimewaka, "Haniheshimu, mimi ni kaka yake, mimi ni mbunge kama yeye, hawaheshimu watu wa Kongwa" Ndungai analalamika baada ya kuambiwa ana inferiority complex.

Dogo kabeba madesa ya kutosha kama evidence, Ndungai kaja mwenyewe mwenyewe tu na hoja ya vurugu kwa wapinzani.
 
Inferiority complex can be prooved by someone actaing against it without giving it a second thought.
Hivi ndivo naibu spika alivowadhirishia Wadanganyika leo kuwa yeye anaongozwa na HISIA DHALILI
 
Dahhhh ndugai hoi naona hasira zinampanda tu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kweli ndugai hamna kitu, anasema hoja ya maji ya mnyika haina mashiko kwa sababu imeelekeza dsm tu na si tanzania, kwani mnyika mbunge wa tanzania? Naona ndugai amepaniki kwa kukiri mwenyewe kuwa ni mnyonge. Bravo mnyika.
 
Ndugai adai kua anahisi Chadema wanamdharau, hivyo nae ndio hua anawaonyesha kua ye ni nani!
 
Mnyika anamuambia ndugai yeye anamawazo ya kidhalili na ameyasema hayo baada ya Ndugai kuhoji kwanini vurugu zao hutokea akiwa yeye ndio Spika wa bunge?. Wanafanya hivyo kwasababu waniona mimi ni mnyonge, mkimya n.k. Hapa mh Job Ndugai amereact vya kutosha hasa alipoambiwa ana dhana ya kujiona anadhauliwa 'inferior Complex'.
 
Ndugai anatamani leo angekuwa mjengoni bungeni amtowe Mnyika nje, yaani amevimba kinoma aseee Mnyika kiboko ya Ndugai, ndugai hoiiiiiiiii
 
Ndugai kakasirika baada ya kuambiwa na mnyika kuwa ni mnyonge....dhalili
 
Ngugai amepanic anasema yeye ni kama kaka kwa Mnyika hivyo anaomba aheshimiwa.

Akaheshimiwe kwa familia yake! Angejua umuhimu wa heshima angekua anavurunda? Atende haki tu hapo ndipo ataheshimiwa!
 
Mnyika anahitaji hekima na kujenga hoja za mshiko; YUPO MAFUNZONI
 
Hahahaaa...The boy Mnyika is just laughing!! Mzee wa inferiority complex full mapovu...
 
ndugai tatizo lake ana hasira anapokuwa ameguswa anawaka na kusema mnyika anamkosea dabu yeye ni mdogo sana
 
Mbona mnyika anakurupuka kama mtot mdogo hajakua tu au naye kama lisu anaendelea na dawa?
 
Back
Top Bottom