Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Ndugai amechokoneka naona anakula za uso tu.
Ameshachukia huyu Ndugai sasa! Anasema eti yeye ni kaka wa Mnyika !
mkuu ya kweli haya?mi nipo safarini
Kwani wanashindana au wanajadiliana kanuni za bunge?Hapo ndugai lazima akae tu kwani hamuwezi mnyika
Hapo ha2na kiongozi wa bunge
Kwani kuna tatizo Ndugai kuwa na urafiki na Mbowe? Hawa wanasiasa lao ni mmoja.Ngugai ana guilty mind eti anasema Mbowe ni rafiki yake