nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
ndugai ndo anatabia hiyo...Tatizo moja la wapinzani ni kuvamia hoja wakati mwenzake anaongea.
ndugai ndo anatabia hiyo...Tatizo moja la wapinzani ni kuvamia hoja wakati mwenzake anaongea.
Usipolambishwa Ban nibatize jina lolote utakalojiskia kunibatiza
Wenzio akina nape wanakimbia we ndugai unajitosa kweli una cha kuwaeleza watanzania?
Amefunikwa?