LUKE WA LIBERIA NA JESSICA WA NAMIBIA WAMEFANYANA!!
Kwa wale wanaofuatialia reality show ya Big Brother ambayo kwa mwaka huu imepewa kilemba cha kuitwa Star game wanafahamu kwamba jana ilikuwa ni siku ya 13 tangu show hiyo ianze. Mimi siyo mtaalamu wa saikolojia wala mabadiliko ya kimwili yanayoendana na hisia za-kimapenzi, ila tu sielewe kama kilichotokea jana kinaweza kuwa kimesababishwa na siku 13 za kufungiwa ndani! Baada ya mishughuliko ya kutwa nzima, jana nikiwa nimejipumzisha kwenye kochi nilibonyeza rimoti yangu ya DStv ili kunifungulia channel 198/197. Moja ya sababu ya kuwa na shauku la kuangalia BBA kwa siku ya jana ni ili kufahamu hali ikoje kwenye jumba la Downville hasa baada ya wanaijeria wawili (Chris na Ola) kuamua kujitoa kutokana na sababu za kiafya. Mawazoni mwangu nilifikiri hali itakuwa ni ya kupooza duuh, kilakitu kilikuwa ni kinyume. Kila mtu alikuwa amechangamka kuliko kawaida. Mpaka kuna wakati nikahisi labda wale jamaa walioondoka walikuwa wakiwanyima pumzi kiana!
Chakushangaza nilichokugundua ni hali ya watoto wakike kuwa horny na kuonyesha hali hiyo waziwazi. Hapo juu nimetaja kwamba jana ilikuwa ni siku ya 13 toka idadi ya watu wasiopungua 28 kufungiwa downville. Sasa sina hakika kama uvumilivu umeisha washinda na sasa kila mtu anataka penzi bila kujali kamera zinazowamulika na kurusha live kila kinachotokea.
Hali ya pilika ilikuwa ikiendele huku wengine wakitaniana, wengine wakipika na kula, wengine wakivuta sigara kubusu nk. Jessica 21, mwakilishi wa Namibia na Luke 26, mwakilishi wa Liberia, walikuwa wamelala pamoja kwenye kitanda huku wakiwa wamejifunika blanket. Kwa muda wote hawakuonekana kuvutiwa na jambo lingine lolote lililokuwa likitokea nje ya wao wawili kukumbatiana ndani ya blanket. Ni wao peke yako waliofahamu kilichokuwa kikiendelea ndani ya vichwa vyao na mimi nilikigundua mara baada ya BiBi kuzima taa za chumbani kwao!
Bila ya kuchelewa kila mmoja akiwa ndani ya blanket alihangaika kuvua ngo za ndani na kujiwe kwenye mkao wa kungonoka eeeh! Mara ya kwanza sikuamini kama ninachokiona ni cha kweli au nilikuwa naota. Kabla sijamaliza kujiuliza nikaona wakifanya mapenzi huku wakidhani kamera haziwaoni maweeee!! Kwa yeyote aliyeona atakubaliana na mimi kwamba haikuwa ngono salama na kama hali ikiendelea hivyo ina maana kuna watu watatoka BBA STAR GAME na maambukizi ya magonjwa ya ZINAA!!