Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya


Ingekuwa nchi za wenzetu angekuwa ameshajiudhuru ila huku Tanzania eti vyombo vya Dola vinamlinda. Shenzy type unamlinda fisadi...kumamayo
 
Wewe Mbowe acha hizo. Umedanganya wananchi kwa miaka zaidi ya 20 eti ni kiongozi wa kuleta mabadiliko kumbe wewe ni kibaraka unapiga fedha. Lissu kakukomesha na kukutia aibu kubwa.
Mdomo wa nini sasa? Si mna chama na nguvu ya kuleta mabadiliko? Si mlete sasa mdomo wa nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…