Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,223
- 7,993
!
!
Hivi kuna watu bado wanaangalia str tv? mtakaoangalia tunaomba mtupatie mrejesho
!
Hivi kuna watu bado wanaangalia str tv? mtakaoangalia tunaomba mtupatie mrejesho
Menyeve kwa menyeve inajuana.Sijui wamelipa Kodi
Mayalla amefanya vyema kujiongeza maana zile tenda zilikuwa zinampatia mamilioni ya kutosha.Pasco ametangaza rasmi kupitia kampuni yake kuwa yeye anamuunga mkono Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi wa 2020.
Hivyo wadau msishangae hoja za Pascal kuelekea 2020, msiseme amenunuliwa Ila mjue ndio msimamo wake.
2015 alikuwa na Lowasa, 2020 anaenda na Magufuli...
Tunashukuru kwa kuliweka wazi hili, nadhani zile kauli za kusema umenunuliwa sio tu zitakoma bali zitaisha kabisa...
Zile ofisi zako pale Posta nadhani utawezeshwa na utalipia pango, zile tenda za serikali zilizokata bila shaka sasa zitamiminika.
Hongera umeona mbali, njaa haina baunsa.
Tunapenda sana kumsikiliza lkn tatizo kwetu ni hicho kituo na waandaaji ukiwemo wewe
[/QUOTE
Mkuu anzisha yako uokoe jahazi
Njaa haina adabu, na hakuna mkate mgumu mbele ya chaiMayalla amefanya vyema kujiongeza maana zile tenda zilikuwa zinampatia mamilioni ya kutosha.
Hongera Mayalla..
Dotto Burendu ndiyo anaibeba hiyo tv, vinginevyo ingesha fungasha viragoMay 30, 2020
MAMBO AMBAYO WAANDISHI & VYOMBO VYA HABARI WANAPASWA KUZINGATIA KUANZIA SASA KUELEKEA UCHAGUZI 2020.
Source: StarTV Habari
hili lizee linakera sana linaharibu hiki kipindi kinapoteza maana kila siku kusifia tu ujinga
!
!
Hivi kuna watu bado wanaangalia str tv? mtakaoangalia tunaomba mtupatie mrejesho