aliongea hivyo. siyo siri slaa amepoteza muelekeo. babu kachoka! eti wabunge wapigane ngumi! hili ze linaitakia mabaya nchi yetu. limekaa kishari zaidi. aliulizwa. aliulizwa kuhusu siasa za chdm kuwa za kiharakati zaidi. hawaoni kuwa wanapotoka? akajibu siasa za ushindani ni vita na mapambano.....
kila mtu aliyetimamu anajua ITV,midahalo yote,sijui vipima joto waga vinakua na mwelekeo wa kudiscredit chama kilichoko madarakani.dah, ndugu yangu wewe bado mtupu sana!
maoni yangu huyu jamaa
hafai,na kama anajidanganya atashinda mwaka 2015,mwambie anaota ndoto za
alinacha.
mwanaizaya weye usiyelijua hili wala lile. Kazi kuramba mwiko kwa kutumia msongo wa pwani. Lizomeeni hiloooo
Kwanini kipindi wasikifanye live?. jamaa inabidi aboreshe sana halafu na hiyo uzalendo sio mpango sababu semonyo ana kipindi kama hiki. Hiki kilibidi kiitwe mwanasiasa wetu ili hata kama mmoja akiogopa kuja mwingine aendeleze kama kawa. Mia
mimi sigombei bana,namzungumzia slaa,hataweza kuwa rais,hizi mbwembwe tulishuhudia hata mwaka 2009 kuelekea 2010,na kilichotokea ndicho kitakachotokea 2015.sio wewe unaota ndoto za alinacha! ccm haiuziki tena, hata uipigie debe vipi haiuziki ni kama vile kujaribu kuuza kaniki Zizzou fashion.!
Impossible
kila mtu aliyetimamu
anajua ITV,midahalo yote,sijui vipima joto waga vinakua na mwelekeo wa
kudiscredit chama kilichoko madarakani.
Wewe siku ni mwanaccm?,halafu kabila ya mmiliki wa itv unaijua?,na asili ya chaga development manfesto(CHADEMA)
Ama kweli ukiwa mvuta bangi uta kuwa na marafiki wavuta bangi!!
Wachaga wametoka wapi huku?
Wanachapa kazi mbaya nadhani baada ya miaka 10 mtatulia tu kama vile mataifa yalivyo tulia kwa marekani no way out!
Mtatulia tu!
Chezea pesa mta tulia tu endeleyeni na umbea wao wanaruka!
hapana mkuu, si kweli!
ITV ni moja kati ya tv chache hapa nchini ambao wanajitahidi kubalance sana mambo yao wasiegamie upande wowote!
Kuna mtu humu ameuliza swali zuri sana, hivi tunafahamu katika kile kipindi cha dakika 45 ni watu wa chama gani hasa huwa wanahojiwa??? Obviously najua unalo jibu!
Je umewahi kuskia chadema wanalalamika kwann hawaalikwi kwenye kipindi cha dkk 45????
mimi sigombei
bana,namzungumzia slaa,hataweza kuwa rais,hizi mbwembwe tulishuhudia
hata mwaka 2009 kuelekea 2010,na kilichotokea ndicho kitakachotokea
2015.
Atakujibu wamevilipia. Kama na wao (Chadema) wanataka wafanye hivyo.
unataka kusema wachaga wako na pesa kuzidi makabila yote?mmh,Labda ndesa tu,wengine wana pesa ya kubadili mboga tu,huku kandaya ziwa wanafanya biashara ya nguo na viatu.Wewe siku ni mwanaccm?,halafu kabila ya mmiliki wa itv unaijua?,na asili ya chaga development manfesto(CHADEMA)
Ama kweli ukiwa mvuta bangi uta kuwa na marafiki wavuta bangi!!
Wachaga wametoka wapi huku?
Wanachapa kazi mbaya nadhani baada ya miaka 10 mtatulia tu kama vile mataifa yalivyo tulia kwa marekani no way out!
Mtatulia tu!
Chezea pesa mta tulia tu endeleyeni na umbea wao wanaruka!
Uende Ntuzuland uone vijana wadogo wanamiliki pesa wacha kujifagilia.
Mbona Ddr huwa anatoa
midahalo live hapa hapa tu kwa kujibu coments za watu?
Dr ni mwanasiasa mzuri sana tatizo Dj kambadili kabisa, Ddr wa leo sio
yule tuliezoea kumuona akiwa kinara bungeni, amekuwa kama Llema
tu
unaumwa ugonjwa wa ubavicha. pole sn!
unaumwa ugonjwa wa ubavicha. pole sn!
Angalizo zuri mkuu, leo nimejisikia vibaya sana kiasi cha kunifanya niwaze mambo mengi sana juu ya future ya nchi yangu; 1. Hivi ni kweli kuwa hatuna waandishi wa habari wenye uweledi mpana wa kuweza kuuliza maswali ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu?kipindi ndiyo kimeanza, tutoe michango ya kukiboresha. Mimi naanza kama ifutavyo: (1) nashauri mwendesha kipindi asitenganishe wahusika wakati wa kurusha kipoindi. (2) kuwe na vipaunbele ambavyo wahusika wanatakiwa kuvitolea ufafanuzi na siyo kwenda randomly kama leo (3) naomba watu wa kukutanisha wawe wa level(ngazi) moja kichama, kama vile makatibu, wenyeviti, makamu wenyeviti, makatibu wenezi, manaibu katibu, n.k, ili kupima mambo yanayowiana Huo ni ushauri wangu tu!