Slaa hana akili ya kujibu swari kama hilo chadema yote ni zito pekee yake ndiyo anaweza kujibu swali hilo.sema kajibuje?pumbafu wewe!
nakuunga mkono mkuu!
mtangazaji is too much of an 'Ametur' anatakiwa mtu mzoefu kuendesha hiki kipindi... La sivyo basi mtangazaji ajitahidi ku-stay on truck, sio kuhama hama kwa maswali mengi tofauti tofauti
Mangula huwezi kumlinganisha nayule mzee mwizi wa wake za watu na mzinzi wa kupindukia.mangula aliyekosa hata mvuto wa kuwa mbunge leo atasaidia nini chama??? kula usubiri kushfa za wizi wa mali ya taifa, maana nyie kashfa ni kitu kidogo tu kula ndo cha maana, chair wenu anaita ajali za kisiasa itakuwa wewe nusu chair??? pole mangula ni njaa tu imekurudisha lakin unajua huna la maana, wanachama wa njombe tu walikukataa leo umakamu wa CCM taifa umeupataje, wahun wanakutumia kumalizia michuzi? na wewe una akili ukakubali???? pole mangula pole.
Dr Slaa is boring, the questions are open, but I don't why he's getting them wrong.
Slaa hana akili ya kujibu swari kama hilo chadema yote ni zito pekee yake ndiyo anaweza kujibu swali hilo.
slaa kasema wabunge
wapigane bungeni. mzee huyu hana akili. yeye mbona mkono mmoja ndiyo
unafanya kazi. anaweza kupigana kweli! bado nasisitiza kuwa SLAA NI ADUI
WA AMANI HAPA NCHINI
Slaa hana akili ya kujibu swari kama hilo chadema yote ni zito pekee yake ndiyo anaweza kujibu swali hilo.
Slaa hana akili ya kujibu swari kama hilo chadema yote ni zito pekee yake ndiyo anaweza kujibu swali hilo.
Najua kuwa unamtumikia slaa na humpendi zito lakini kaa ukijua zito ni kichwa zaidi ya babu.Jifunze kuandika kiswahili kwanza.
Jifunze kuandika kiswahili kwanza.
Slaa hana akili ya kujibu swari kama hilo chadema yote ni zito pekee yake ndiyo anaweza kujibu swali hilo.
Mangula huwezi kumlinganisha nayule mzee mwizi wa wake za watu na mzinzi wa kupindukia.
Na wewe siku hizi ni kijakazi wa slaa? Wewe na ben nani mkubwa sasa.what a poor boy,
maskini mwadhiria wa elimu hata kuandika hujui...pole sana mkuu.
maswali darasan mwl humuuliza genius na sio vilaza
what a poor boy,
maskini mwadhiria wa elimu hata kuandika hujui...pole sana mkuu.
Muda wa kujibu swali ni mfupi na data ni nyingi, hivyo lazima azungumze haraka to make a point. Unakumbuka shuleni tulikuwa tunapewa maswali 10 kwa dakika 5 kuyajibu?Mbona slaa alikuwa anaongea kama anakimbizwa alikuwa anahofu nini sasa.
Najua kuwa unamtumikia slaa na humpendi zito lakini kaa ukijua zito ni kichwa zaidi ya babu.