Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
What else can you do to help these empty-headed souls?Just knocking some senses into their stupid heads

you might also be empty-headed without recognizing yourself. bavichaism has made most youth reluctant to conduct significant researches on key national issues! it has made them resort to writing no sense! shame on you bavicha!
 
mwanaizaya weye usiyelijua hili wala lile. Kazi kuramba mwiko kwa kutumia msongo wa pwani. Lizomeeni hiloooo
 
kipindi ndiyo kimeanza,
tutoe michango ya kukiboresha. Mimi naanza kama ifutavyo: (1) nashauri
mwendesha kipindi asitenganishe wahusika wakati wa kurusha kipoindi. (2)
kuwe na vipaunbele ambavyo wahusika wanatakiwa kuvitolea ufafanuzi na
siyo kwenda randomly kama leo (3) naomba watu wa kukutanisha wawe wa
level(ngazi) moja kichama, kama vile makatibu, wenyeviti, makamu
wenyeviti, makatibu wenezi, manaibu katibu, n.k, ili kupima mambo
yanayowiana Huo ni ushauri wangu tu!

asilimia 100 mkuu!
 
huu uzi umepoteza maana kabisa , haujaupdate chochote kutoka kwenye kipindi kuwasaidia wale wasiokuwa na access ya TV. mjifunze kuupdate vitu na siyo kushambuliana muda wote tu.
 
huu uzi umepoteza maana kabisa , haujaupdate chochote kutoka kwenye kipindi kuwasaidia wale wasiokuwa na access ya TV. mjifunze kuupdate vitu na siyo kushambuliana muda wote tu.

mkuuu hapo umeongea me nipo huku Ngara polini ,nafuatilia Jf. naona kushambuliana tu ,no any updates
 
sina access na tv,na nilitegemea kujua haswa kitu gani kimezungumzwa kwenye kipindi hicho,ila nimeambulia kusoma mabishano yasiyo na msingi.
 
mkuuu hapo umeongea me
nipo huku Ngara polini ,nafuatilia Jf. naona kushambuliana tu ,no any
updates

pole!
kuna watu humu wamekalia kupotosha tu, so ni lazimawashughulikiwe!
ila cheki hapo "mwanzoni na katikati" kwa thread kuna few updates..
 
mkuuu hapo umeongea me nipo huku Ngara polini ,nafuatilia Jf. naona kushambuliana tu ,no any updates

nimeshangaa watu wanatoa maoni yao kuhusiana na kinachongelewa badala ya kuweka kilichoongelewa pamoja na hayo maoni yao ili hata wale wasiokuwa na tv wapate ujumbe na hoja zilizozungumziwa. Tunapaswa kubadilika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom