Live on ITV - UZALENDO: Dr Slaa vs Mangula

Status
Not open for further replies.
Wanajf leo kwenye kipindi kipya kabisa cha ITV kinachoitwa UZALENDO kitakachorushwa kila alhamisi saa moja usiku kikihusu mambo yanayojiri katika medani ya siasa nchini na waalikwa wakiwa wanasiasa kutoka vyama tofauti wakichambua hoja mbalimbali kuhusiana na hali inavyoendelea nchini ambapo katika kipindi cha leo wageni watakuwa ni Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bwana Philip Mangula na Katibu Mkuu wa Chadema,Dk.Wilbroad Slaa

source: ITV

msikose!
 
Mtu mwenye familia yenye stata anawekwa meza moja na mtu mharifu ambaye hata familia hana anaishia kuokota wake za watu.
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi nasubili kwa hamu ccm wajanja sana wameamua kumleta mangula kwasababu wanajua yuko clean,kwa maoni yangu Dr.slaa hamuwezi mangula mangula aliwai kumwambia kikwete hufai kuwa raisi kwenye kikao zanzibar
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom