NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,518
- 3,130
hii thread imepoteza maana sasa kila mtu kaanzisha uzi wake, mods leteni huku hzo nyuzi!
Nimemuonea huruma sana. Yaani kama alikuwa kwa pilato anasubiri hukumu yake!!!Mangula kachoka mpaka kauli
unaweza nipa maana ya uzalendo?huyu babu slaa hana uzalendo. anaridhia ngumi bungeni!
slaa amebanwa kuhusu kuchanganya siasa na uanaharakati. ameshindwa kujibu kiufasaha
Lile povu la slaa ndio limefunika?? Punguza mahaba ww. Mangula ndio jinsi ametulia na ni smart, sio mtu wa kukurupukaKwa kweli Mangula hana uwezo wa kuongea sana. Yaani naona Dr. Slaa kamfunika mbaya kabisa.
hivi tanzania ubunge unarithiwa siku hizi? Mi nilifikiri anachaguliwa na watanzania wa jimbo husika, labda mi sipo tanzania, kwa hiyo karatu hawakuchagua mbunge! Duh pole kaka.,, mchungaji, padre au sheikh hawastahiki kuwa wabunge?yeye ni padre na kiti chake cha ubunge alimrithisha mchungaji bila kuhofia watu watasema nini
slaa amebanwa kuhusu kutoa
hadharani siri za usalama wa taifa. je huo ni uzalendo? slaa
anajiumauma. mwendesha kipindi anamuuliza sana slaa kuliko mangula. hiki
kipindi kinahitaji mtangazaji mzoefu sana. huyu dogo hakiwezi
huyu babu slaa hana uzalendo. anaridhia ngumi bungeni!