mwendesha kipindi anamuuliza slaa sana kuliko mangula! sijui kwa nini
maswali darasan mwl humuuliza genius na sio vilaza
mwendesha kipindi anamuuliza slaa sana kuliko mangula! sijui kwa nini
Mangula yupo concious!, Dr Slaa hata hamu ya kumsikiliza nimekosa.
kwanza mangula hakuja studio bali walimuhoji sijui nyumbani kwake
sema kajibuje?pumbafu wewe!slaa amebanwa kuhusu kuchanganya siasa na uanaharakati. ameshindwa kujibu kiufasaha
Kweli that Presenter is too naive on many important National issues,We need a seasoned presenter this one is too boring and uninformed to my liking.
maswali darasan mwl humuuliza genius na sio vilaza
Mangula yupo systematic!, Dr Slaa hata hamu ya kumsikiliza nimekosa.
"Don't hate the player, hate the game" Mangula angefuata nyayo za wenzake za kukacha midahalo. JK hawezi teua mtu wenye uwezo wa kujenga hoja zaidi yake. Kumbuka 2010 JK alikacha midahalokama utafuatilia vizuri, slaa alikua studio lkn mangula alifuatwa hotelini baada ya kula chakula. huyu mtangazaji bomu kweli
Vijana wa ccm na cuf hoja zao ni dini tu! Af wanalaumu chadema, anzeni kujichunguza mmebuma sana aisee, kichefuchefu!alipoamua kugombea urais alipendekeza jina la mchungaji Israel kubeba bendera ya chdm. yeye padre kasha anampendekeza mchungaji. huo siyo udini? nimeona unafiki wa slaa alipokua anaongelea udini
Dr Slaa is boring, the questions are open, but I don't why he's getting them wrong.
Amesema wakenya wanasema bunge letu ni kama la wachungaji,mapadri na mashehe,mpaka zipiginwe ndondi ndio liwe bunge kamili.
Akasema haki inapiganiwa.
Slaa huyo.
Dr Slaa is boring, the questions are open, but I don't why he's getting them wrong.