Mikoani sio Tanzania?Dar hamna mtu anayejishughulisha na magwanda. Mbwembwe zenu ni mikoani tu.
Mikoani sio Tanzania?Dar hamna mtu anayejishughulisha na magwanda. Mbwembwe zenu ni mikoani tu.
Watu wenyewe waliofika mkutanoni hawafiki hata saba (7)
Watu saba sio wapigakura?Update za kutosha zitoke wapi? Mkutano umehudhuriwa na watu saba (7) tu. Yaani ni aibuuuuuuuuuu
Dar hamna mtu anayejishughulisha na magwanda. Mbwembwe zenu ni mikoani tu.
Utadoda tu huo, sana mtachukuapicha kwenye archives mturushie hapa
Ha ha ha ha buku 7 fc haoBi FaizaFoxy naona ID yako mpya imekunogea
Leo kuna mkutano wa injili mkoani shinyanga mgenj rasmi Mch freeman mbowe asanteni.
Nchi ilishakombolewa na Nyerere 1961. Chadema ni kikundi cha wapenda madaraka tu.
Wakuu.
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kamanda Freeman Mbowe, akiongozana na viongozi kutoka makao makuu pamoja na wabunge wa Kanda ya Ziwa Mashariki, punde wanaelekea kwenda kuhutubia mkutano mkubwa wa hadhara mjini Shinyanga, eneo la Nguzo nane, Mahakama ya Mwanzo, ni baada ya kikao cha ndani kilichomalizika muda mfupi uliopita.
Ni sehemu ya mikakati ya kuimarisha kanda hiyo ambayo ni kati ya ngome kubwa za CHADEMA.
Updates combination chini ya Tumaini Makene itawajuza.
Angalia picha hapo juu dada,huwa nikiona jina la radhia sweet nanihii yangu inainuka chap!Watu wenyewe waliofika mkutanoni hawafiki hata saba (7)
Kweli mwaka huu CHADEMA mmeamua kila siku ni harakati tu, sijui mnapata wapi muda wa kuweza kupumzika?
Hivi majimbo yenu huwa mnayahudumia saa ngapi, maana kila siku mpo na mikutano, mijadala, maandamano, mahakamani, midahalo nk?
Nimesema naumia? Mimi naeleza idadi ya watu waliofika mkutanoni.
.....Ha ha ha Mkuu umevunja bendi.....Angalia picha hapo juu dada,huwa nikiona jina la radhia sweet nanihii yangu inainuka chap!
Mbona wengine wanasema yupo Mbeya. Nyie Magwanda mbona mnajichanganya sana.