Eti dogo, Posta iko Kariakoo au Feri?
CC: Mtambuzi, KakaKiiza, amu, Paloma, Remmy (I love you ila usimwambie mtu) Kipaji Halisi, Vin Diesel, Teamo, The Finest, Mtambuzi, Conntessa, CCM Safeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeey!!!
Leo Tupo Hapa Pub LTD
Jamani nitafutieni yule binti niliondoka nae siku ile....kuna kinguo alikiacha home
Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti.....
...usikute wanadhani sisi ni Tailor Malt....Hahahahahaha....babuuuuuuu.....unazeeka vibaya wewe!
Haya niambie, NANI ALIKUETEA VIDEO???? au contessa had the same effect!??
#chama chetu cha....chajenga nchi!
Wewe na Kipaji Halisi mna nini na vitambaa vya mabinti??
Maana imekuwa kama trend....
hahahahaha..tunaendelea na vingine vingi
Hahahahahaha....babuuuuuuu.....unazeeka vibaya wewe!
Haya niambie, NANI ALIKUETEA VIDEO???? au contessa had the same effect!??
#chama chetu cha....chajenga nchi!
Wewe na Kipaji Halisi mna nini na vitambaa vya mabinti??
Maana imekuwa kama trend....
..hakiamungu... sijaondoka na kitambaa cha mtu....walahi naapa....hahahahahahakwani kuna mtu aliacha kitambaa kwa Kipaji Halisi?
..hakiamungu... Sijaondoka na kitambaa cha mtu....walahi naapa....hahahahahaha
Miss you sweetness VD. Soon tutakuwa pamoko!I miss u love.....
..ccm safiiiiiiiii....zidumu....ccm hoyeee
Miss you sweetness VD. Soon tutakuwa pamoko!
..ccm safiiiiiiiii....zidumu....
Paloma my dear, I miss u!!
Maazimio tuliandika,ila ile karatasi ilimwagikiwa na Contessa,hivyo ikachanika.
hahahahaa nimecheka sana jamani uuwi!
hahahaa contessa at work! Mjeda hakuikausha? Hahahaha miss you big big Madame B. Msalimie mtarajiwa wako Ben Saanane! Umejiandaaje kuwa mama mheshmiwa?Paloma my dear, I miss u!!
Maazimio tuliandika,ila ile karatasi ilimwagikiwa na Contessa,hivyo ikachanika.