ili kuwa kwenye safe side inabidi waongeze moja kabisa!!!vila game over aisee...
kuepuka kupigana na mkewe kwa hasira za kufungwa lazima leo atalala chumba cha watoto!!Naamini mpaka mda huu Mkuu Gang Chomba, umejing'ata mgongo mzima!
Hapa kimoja tu barca out na tatu zao...
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
huenda watakipata dk za majeruhi!!Gang Chomba mnashindwa hata kufunga goli moja la ugenini mpite?
ila huyo puyol huyo!!!!sijui!!Dk 76 Barca 3 - 0 milan