ndo pakulipatia sasa hilo mkuu..
tukifunga saa hv litachomolewa tunasubiri za nyongeza
ndo pakulipatia sasa hilo mkuu..
hii kali ya mwaka,dk ya ngapi?
:msela:
mmmh 3 ngumu!!Dk 3 zimeongezwa
Barcelona 4 AC Milan 0 Cc: Gang Chombanaombeni matokeo mi niko kijijini