maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,829
Wamezoea kuona unafiki wa wabunge wa ccmMitifuano gani ndani ya CDM. hawa wako bungeni ambako kila mtu yuko huru kuchangia anavyotaka.
Wamezoea kuona unafiki wa wabunge wa ccmMitifuano gani ndani ya CDM. hawa wako bungeni ambako kila mtu yuko huru kuchangia anavyotaka.
John Smith
- Kweli akili ni nywele, kila mtu ana zake
Kweli akili upele, huja na muwasho wake
kweli akili kengele, hugonga kwa saa zake
Si mageni yako tele, hupita kwa njia zake.
Source: Kikulacho Kinguoni Mwako!
Kuna maneno yanasema .......'Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.
Viongozi wameshashindwa kulichunga hilo kundi; hata wenyewe kwa wenyewe hawaelewani tena.
Vijana wanatimkia ccm sasa; kwa ushahidi mdogo tu
nenda hapo cbe uongee na vijana kuhusu chadema
ili tukubaliane tuweze kwenda sawa.
JF Senior Expert Member Array
Wasipokuwa makini kuna siku watakuja kupigana matofali.
cc
mods wote wa jukwaa la siasa, kwa hatua zenu
Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.
Wanachama wamebaki njia ya panda...