Lisu atofautiana na Mdee Bingeni

Lisu atofautiana na Mdee Bingeni

Wewe niwa hovyo kabisa wendawazi wako wa maccm inakufanya uwe hayawani kabisa.Mods fanyeni kazi ya ziada theads za kipuuzi aina hii za nini hapa JF?Mbhona mnashusha hadhi ya jamvi hili?
 
Yani hata wakitofautiana mtazamo nayo ni tipic!!?
Tumezidi sasa.
 
Kuna maneno yanasema .......'Nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika.
Viongozi wameshashindwa kulichunga hilo kundi; hata wenyewe kwa wenyewe hawaelewani tena.

Vijana wanatimkia ccm sasa; kwa ushahidi mdogo tu
nenda hapo cbe uongee na vijana kuhusu chadema
ili tukubaliane tuweze kwenda sawa.
 
Kwani kila Mbungea si anatoa maoni yake kama yeye?? Nadhani hilo siyo suala la msimamo wa Chama! Ila kwa maoni yangu pia, haiingii akilini kuwa kwa sababu hakuna kosa ambalo limewahi kufanywa, basi hicho kifungu kiondolewe. Hapa suala ni kupunguza hiyo adhabu!
 
Ni baada ya mwanasheria mkuu wa serikali kutaka adhabu ya shs 5,000,000/= kwa atakayepatikana na hatia ya kukiuka maadili na kuleta uchochezi katk mambo film na michezo ya kuigiza, Lisu alisimama na kutaka sheria hii iondolewe kwa vile tokea ilivyotungwa miaka ya 70s hajawahi kutokea wala kushtakiwa mtu kwa kutenda kosa katika tasnia hiyo ya film, pia mnyika na mchungaji walisimama na kumuunga mkono lisu., lakini Halima mdee baadae alisimama na kutaka adhabu iendelee kuwepo ila ipunguzwe kutoka mili5 hadi mili3,.,

Tbc - live

acha kuipotisha hoja wewe vilikuwa ni vifungu viwili tofauti
 
Mitifuano ndani ya Chadema inazidi kushamiri tu.

Wanachama wamebaki njia ya panda...

sasa imezid vp mbona sijaona mtifuano
 
maccm majinga sana kila kitu chadema mtaongea sana ntaandika sanaaa chadema tupo imara hizo kelele za wapumbavu hazina faida kwetu nasikia jana wasira alikatazwe kupiga picha na viongozi wenzake
 
chadema inachukiwa na watanzania kwa sababu ya upuuzi wa viongozi wake
Upuuzi gan?? Mdee kutofautiana na Lissu?? Mbona mnapenda kukuza mambo yasiyo na maana..wote ni wabunge hawawezi kuwa na mawazo yanayofanana au wale wa kila kitu NDIYOOO bado wanakukuna.
 
Mkuu hiyo ni parliamentary session, kila moja ana uhuru wa kutoa maoni yake anavyoona yanafaa.

Hakuna mtifuano bali hoja zenye kujenga.

Uimara wa CHADEMA unaifanya bunge lionekane lina sura ya aina yake!

ccm ni chama cha ajabu sana hapa duniani, hawa jamaa sasa sijui wanataka kufuta uhuru wa kutoa mawazo na watoe misimamo ya vyama??
 
Wasipokuwa makini kuna siku watakuja kupigana matofali.
 
Ni baada ya mwanasheria mkuu wa serikali kutaka adhabu ya shs 5,000,000/= kwa atakayepatikana na hatia ya kukiuka maadili na kuleta uchochezi katk mambo film na michezo ya kuigiza, Lisu alisimama na kutaka sheria hii iondolewe kwa vile tokea ilivyotungwa miaka ya 70s hajawahi kutokea wala kushtakiwa mtu kwa kutenda kosa katika tasnia hiyo ya film, pia mnyika na mchungaji walisimama na kumuunga mkono lisu., lakini Halima mdee baadae alisimama na kutaka adhabu iendelee kuwepo ila ipunguzwe kutoka mili5 hadi mili3,.,

Tbc - live

aisee kama wewe ungekuwa wakili wateja wako kila kesi wangefungwa.
hapo ni vifungu 2 tofauti......kumbe ndio maana serikali inashusha viwango vya ufaulu vinajuwa mpo oooooogh
 
Back
Top Bottom