Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,378
- 39,310
Wikendi hii tunafanya majaribio ya kurusha matangazo moja kwa moja toka studio zetu hapa kijijini. Kuweza kusikiliza matangazo yetu live nenda kwenye tovuti ya: http://www.ubroadcast.com halafu fuata hatua zifuatazo:
Kuweza kusikiliza matangazo yetu live masaa 24 fanya hivi:
Nenda http://www.ubroadcast.com
Ingia kwenye "Listen" na download player
Iandikishe "player" yako kwa chini ya sekunde chache. (haichukui muda)
Fungua hiyo player na utaona inakupa options tatu, "Stations", "Favourites" na "Feature" nenda kwenye Stations na angalia maelezo ya 6
Juu ya hiyo player kwenye mstari wa nembo ya "Ubroadcast" kuna sehemu ya kujaza (yaweza kuwa na namba fulani hivi kama moja) halafu mbele yake kuna neno "Jump"
Kwenye sehemu ya kujaza andika namba 10383 (namba ya Station) halafu bonyeza "Jump" au "Jump to show" na mara moja utaanza kuburudika na muziki na matangazo.
Hatua hizo unazifanya mara moja tu na huko mbeleni unafungua player na namba ya station itakuwa tayari, na wewe unabonyeza "Jump" na burudani zinaanza.
Uzuri wa player hii ukilinganisha na nyingine.
a. Wewe una total control ya kile unachosikiliza. Unaweza kusimamisha muziki, kuchagua muziki wa mbeleni, n.k na unapoanza kusikiliza unaanza na muziki ambao msikilizaji mwingine anaweza asianze nao na kila utakapofungua unaanza na muziki tofauti na unaweza kwenda mbele n.k.
b. Wakati M. M. anapokuwa hewani live (bado hatujaamua muda mzuri) hasa kwa taarifa ya habari, wasikilizaji wote wataweza kumsikiliza kwa wakati mmoja na baadaye muziki utaendelea kama kawaida. Hakikisha umejiandikisha kwani akiwa hewani utaweza kuwasiliana naye "live" huku matangazo yanaendelea.
KARIBUNI TUENDELEE KUIFANYIA MAJARIBIO!