List ya idara zenye njaa kali huko halmashauri.

List ya idara zenye njaa kali huko halmashauri.

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,069
1.Idara ya elimu ya msingi
2.Idara ya kilimo
3.Idara ya michezo
4.Idara ya mifugo na uvuvi
5.Idara ya usafi na mazingira
6.Idara ya utawala
7.Idara ya ujenzi
8.Idara ya Elimu secondary
Huko watu wamepauka hadi huruma
 
Mmmh sidhani hata kama ulishafanya kazi LOCAL GOVT..Utawala & Usafi na Mazingira..sidhani..fanya homework yako vizuri
 
1.Idara ya elimu ya msingi
2.Idara ya kilimo
3.Idara ya michezo
4.Idara ya mifugo na uvuvi
5.Idara ya usafi na mazingira
6.Idara ya utawala
7.Idara ya ujenzi
8.Idara ya Elimu secondary
Huko watu wamepauka hadi huruma
Fallacy of generalisation, inategemea eneo na eneo usiishi kwa kukariri.
 
1.
2.Idara ya kilimo
3.
4.Idara ya mifugo na uvuvi
5.
6.
7.Idara ya ujenzi
8.
Hizi idara 3 ukitumia ubunifu wa ziada, lazima zikupe mafanikio.
 
Idara tajwa hapo zina njia ya mkato ya asali na maziwa akili tu kuivumbua njia hio
 
1.Idara ya elimu ya msingi
2.Idara ya kilimo
3.Idara ya michezo
4.Idara ya mifugo na uvuvi
5.Idara ya usafi na mazingira
6.Idara ya utawala
7.Idara ya ujenzi
8.Idara ya Elimu secondary
Huko watu wamepauka hadi huruma
Kwahiyo tuhame wote tuende kwenye idara zenye pesa sio?
 
Rudi kafanye homework yako vzr,ila all ina all halmashauri nyingi njaa kali.
 
Back
Top Bottom