Hoja hii ni pigo kubwa kwa wale ndugu wa kile chama kingine 🤣🤣Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.