Lissu: 'Time limit' kwenye uongozi ni anasa

Lissu: 'Time limit' kwenye uongozi ni anasa

PUMBAVU, katiba inakanyagwa kila siku na watz wachache ndio wanaofaidi asali ya tz unachekelea alafu eti unakuja kuvunjika mayo na kauli ambayo hata kuelewa haujaielewa. Pumbavu
Hauna hoja wewe.
Pumbaf zako mwenyewe, shenz kabisa na hauna adabu!
 
Mwamba una ushabiki wa uchadema kwako Chadema haikosei
Sikumbuki lini niliwahi kukwambia Chadema haikosei, unachoshindwa kujua ni kwamba, unachoona kwako ni kosa, kwa mwenzio kinaweza kisiwe kosa, unatakiwa kupevuka kifikra.
 
Sikumbuki lini niliwahi kukwambia Chadema haikosei, unachoshindwa kujua ni kwamba, unachoona kwako ni kosa, kwa mwenzio kinaweza kisiwe kosa, unatakiwa kupevuka kifikra.
Ushabiki wa kisiasa sio mzuri unakuondoa kwenye ufahamu wako wa kawaida kwahiyo kwako ni sawa term limit ni anasa? Ikitokea nao CCM wakabadili katiba yao kusiwe na ukomo wa madaraka je ungetoa mchango kama Huu unaotoa?
 
Tatizo lako na wenzako ni dogo sana, nawashangaa kwanini muhangaike na "term limit" pekee, kama jambo la msingi zaidi [kiongozi kupatikana kwa kupigiwa kura] linafanyika, kwangu hiyo ndio demokrasia, msiibadilishe hii demokrasia kuwa vile mnavyotaka nyie.

Eti kwamba, kiongozi mwenye nguvu aondoke madarakani kwasababu tu muda fulani umepita, hivi kama nyie mna mgombea wenu mwenye nguvu zaidi yake, anayekubalika zaidi yake, kwanini msiende kumshindanisha nae amshinde, akalie kiti, ili amzuie kuwepo uongozini kwa muda mrefu msiopenda?

- Mpaka hapo, hebu nioneshe, huo ushabiki wangu wa kisiasa unaoandika uko wapi?!

Halafu, unanipa mfano wa CCM, hao CCM mwenyekiti wao hushindanishwa na nani? hao si ndio huwa wanatoa form moja tu kwa ajili ya mwenyekiti? halafu mlivyo wa ajabu, kwenu hilo mnaliona sawa, wakati wagombea wengine wenye sifa wanakuwa wamefungwa mikono!.
 
Tuondoe term limits kwa Rais Samia
Tatizo kubwa ni Katiba yetu mbovu ambayo inawafanya watu wajiweke madarakani wao wenyewe. Ila kama tungekuwa na katiba nzuri na mfumo mzuri wa uchaguzi ambao wananchi ndiyo wanaochagua viongozi wanaowataka .... sioni kama term limit ni tatizo. UK viongozi wao hawana term limits, German hawana term limits ... lakini tofauti na kwetu wao wanachaguliwa na wananchi.
 
Back
Top Bottom