Nakwambia mapovu yatawatoka mpaka nchonyoni.
Kwa hayo aliyoyasema lisu ni ishara nzuri ya udikiteta kwenye chama. Chama kinachoongozwa kidikiteta lazima kitaunda serikali ya kidikiteta.
..tutengeneze KATIBA BORA isiyotoa nafasi kwa Madikteta.
Nakwambia mapovu yatawatoka mpaka nchonyoni.
Kwa hayo aliyoyasema lisu ni ishara nzuri ya udikiteta kwenye chama. Chama kinachoongozwa kidikiteta lazima kitaunda serikali ya kidikiteta.
Hiyo katiba italazimisha vyama kuwa na limits?..tutengeneze KATIBA BORA isiyotoa nafasi kwa Madikteta.
Hiyo katiba italazimisha vyama kuwa na limits?
Kwanza hujui maana ya udikteta zaidi ya kuuandika tu..Nakwambia mapovu yatawatoka mpaka nchonyoni.
Kwa hayo aliyoyasema lisu ni ishara nzuri ya udikiteta kwenye chama. Chama kinachoongozwa kidikiteta lazima kitaunda serikali ya kidikiteta.
Kwani wewe ujaona kuna watu wameweza kununulika kwa ahadi ya vyeo??Lisu kadai kwamba Chadema wameona time limit ni lazima kwa kuwa wana changamoto ya viongozi.Eti kwao ni anasa.Yaani viongozi waliopo ni irreplaceable?
Hoja hii inadhihirisha kwamba Chadema hawana viongozi wa kuaminika wa kutosha kuwabadili waliopo au ni kivuli cha kutetea udikteta?
Be the judge!
Chadema wamepitia mengi ni haki yao kuwa na msimamo wa aina hiyo, hilo halihusiani hata kidogo na mawazo ya kina Nkamia kutaka Magufuli aongezewe muda.Hawa ndio wanajiita chama cha demokrasia... kenge kabisa. Ungewasikia wakati ule kina Nkamia wanajipendekeza kuhusu JPM hutaamini ndio hawa wapinga Udikteta... kumbe ikija upande wa CDM time limit ni Anasa. Maajabu. Tundu ni tundu hakuna namna likiwa kichwani.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilishtim
Hyo ni tafsiri YAKO binafsi ILA yeye ajaongea hayo maneno😂Nakwambia mapovu yatawatoka mpaka nchonyoni.
Kwa hayo aliyoyasema lisu ni ishara nzuri ya udikiteta kwenye chama. Chama kinachoongozwa kidikiteta lazima kitaunda serikali ya kidikiteta.
Akili kubwa kweli, wewe fikilia ata Zitto kabwe alitka kuwa m/kiti wa chama. Angalia kama Halima Mdee alipewa kitengo na nini alichokifanya. Chadema ni chama makini sana na inaitaji akili kubwa sana kuelewaNa unakuta kunamamtu yanapayuka eti akili kubwa
Hii mihemko tu.Hapo sasa mapovu yatawatoka
Anaiua kizembe Chadema!Hii sasa ni kali
Mbona sisi Chadema hatuna tatizo na hilo, Nyerere mwenywewe wakati anatengeneza nchi na kuimalisha chama, alikaa mpaka alipoona chama kimekuwa na akaondoka mwenyewe.Hili suala nimelizungumzia Sana kwamba Kuna udhaifu kwenye mfumo wa uongozi wa upinzani,
Wanaendesha chama kama Mali ya MTU Fulani
Leo lisu mtu mwenye kujenga hoja kwenye kila jambo ameaibika vibaya sana kwa kukosa Hoja ya kutetea ya mfumo wao wa uongozi wa chama chake
Sio mnafiki lakini hapa ametetea hoja kinafiki kumlinda mkt
Mbowe aachie ngazi aruhusu chama kifanye mabadiliko anawadhalilisha wenzake
Ingekua makini kingeweza kuandaa mrithi wa Mbowe. Hatuombi ila kwamfano ikitokea anakata moto na hakuna mtu makini wa kumrithi chama si kinakufa?Akili kubwa kweli, wewe fikilia ata Zitto kabwe alitka kuwa m/kiti wa chama. Angalia kama Halima Mdee alipewa kitengo na nini alichokifanya. Chadema ni chama makini sana na inaitaji akili kubwa sana kuelewa
Makosa mawili hayahalarishi makosa... ukomo wa muda huondoa tabaka fulani kushika wadhifa fulani mpaka kifo... hayo ni maisha ya nchi za kifalme kitu tulicho kiacha kuanzia kwenye katiba mama. CCM pamoja na utaratibu wao wa Rais kuwa Mwenyekiti wa chama bado wana time limit.. ila ACT na ninyi time limit kwenu ni "anasa" tena anaezungumza hivyo ni nguli wa ukosoaji.Chadema wamepitia mengi ni haki yao kuwa na msimamo wa aina hiyo, hilo halihusiani hata kidogo na mawazo ya kina Nkamia kutaka Magufuli aongezewe muda.
Yes, bado Chadema ni chama cha demokrasia, kwasababu hata kama hawana time limit ya kiongozi kukaa madarakani, lakini bado kiongozi aliyepo madarakani hulazimika kuchaguliwa na wanachama wake kwa kushindanishwa na wagombea wengine, demokrasia sio ya upande mmoja tu kuweka time limit.
Kama unaona Nkamia alizungumza pointi kwa kutaka Magufuli aendelee kukaa madarakani, hebu tuambie, nani wangekuwa washindani wake kwenye kumpata mgombea chamani kwao? ajabu hili linatokea hata sasa, mwenyekiti wao hashindanishwi na yeyote, ndio maana JK ameshaanza kumpigia kampeni hajaona kama Samia.
Rais wa kurithi?Tuondoe term limits kwa Rais Samia
Tunajenga chama mtungoje. Ccm wakati inajengwa m/kiti alikaa mpaka alipoona chama kimekua ndipo akang'atuka mwenywe tena kwa ngovu na hiyo ndio historia/nature ya vyama vyote vikubwa unavyovijuaIngekua makini kingeweza kuandaa mrithi wa Mbowe. Hatuombi ila kwamfano ikitokea anakata moto na hakuna mtu makini wa kumrithi chama si kinakufa?
Ikitokea mnapewa nchi mtasema mtaondoa time limit kwa kisingizio cha kujanga nchi?Tunajenga chama mtungoje. Ccm wakati inajengwa m/kiti alikaa mpaka alipoona chama kimekua ndipo akang'atuka mwenywe tena kwa ngovu na hiyo ndio historia/nature ya vyama vyote vikubwa unavyovijua
Kama mbowe akifa leo Lissu anachukua kijiti na Heche anakuwa makamu. Hapo unaonaje we kilaza
Mbowe anafanya vizuri na kwa sasa na yeye tu mpaka kieleweke na akili ya chama cha mambuzi ziwakae vizuri