saim28
JF-Expert Member
- Apr 21, 2021
- 221
- 378
Na unakuta kunamamtu yanapayuka eti akili kubwaUnfortunately hata hajui kama hicho alichosema kinamanisha nini. Kama hamuwezi kupata watu wa kuongoza watu elfu hamsini, mtapata wapi wa kuongoza 60M.
Na unakuta kunamamtu yanapayuka eti akili kubwaUnfortunately hata hajui kama hicho alichosema kinamanisha nini. Kama hamuwezi kupata watu wa kuongoza watu elfu hamsini, mtapata wapi wa kuongoza 60M.
Huyu jamaa basi tu, lakini hizo akili wala hana, hata wenzake wanajua, sema tu ndo karata waliyonayo kwa Sasa ya kuwasogezaNa unakuta kunamamtu yanapayuka eti akili kubwa
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.
Lijamaa limechanganyikiwa. Kuna fyuzi zimeshachomokaMakamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.
Kwahio unataka kusema ndani ya chama Tanzania yote hakuna anaeaminika ispokua Mbowe pekeake?, Vip na yeye haaminiki au hawezi kujitolea?Uongozi wa chama au nchi?. Hivyo ni vitu tofauti. Kwenye vyama vyetu vya siasa timelimit ni changamoto maana ni kazi za kujitolea sana na kuaminiana. Jiulize leo angekuwa Sumay mwenyekiti Chadema ingekuwepo? Je wangapi wako tayari kufugwa? Au kufanyakazi bila mshahara?
Hapa hakuna ulaji na wengi wanasema demokrasia Chadema ni wanataka chama kife kwasababu wanamuogopa Mbowe
Ikiwa hauna viongozi wa kuwabadili waliopo Chadema wataaminika vipi kupewa jukumu la kuongoza Nchi?Uongozi wa chama au nchi?. Hivyo ni vitu tofauti. Kwenye vyama vyetu vya siasa timelimit ni changamoto maana ni kazi za kujitolea sana na kuaminiana. Jiulize leo angekuwa Sumay mwenyekiti Chadema ingekuwepo? Je wangapi wako tayari kufugwa? Au kufanyakazi bila mshahara?
Hapa hakuna ulaji na wengi wanasema demokrasia Chadema ni wanataka chama kife kwasababu wanamuogopa Mbowe
Unfortunately hata hajui kama hicho alichosema kinamanisha nini. Kama hamuwezi kupata watu wa kuongoza watu elfu hamsini, mtapata wapi wa kuongoza 60M.
Unazungumziwa uongozi wa ChademaTuondoe term limits kwa Rais Samia
Mgombea Urais wa ccm 2025 hatakuwa mwanamkeHapo sasa mapovu yatawatoka
Msingi wa watu kuogopa uongozi wa upinzani ni kuogopa kuuawa na washika mpini , si kukosa watuNashngaa watu wanaomuona huyu jamaa ana akili. Kwahiyo kama tu kwenye ka chama hawana watu wa kuongoza, watu wa kuongoza Nchi watawatoa wapi!
Una hakika umemnuukuu sawasawa; isije ikawa unatuwekea mawazo yako hapa badala ya yale aliyokusudia Lissu.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.
Kuna mambo yanachekesha na kusikitishaMakamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.
Na bado huenda atakuwa haelewi, hata baada ya kumpa mfano huo hai kabisa!..Nchi ni kubwa kuliko chama, hivyo watatafuta watu wa kushika nafasi mbalimbali toka nje ya chama.
..Mfano mzuri ni Mama Samia ambaye baada ya kukosa watu ndani ya Ccm ameamua kuteua wasanii kujaza nafasi mbalimbali.
Unajiondoa akili tu, kwa kujisahaulisha kwamba viongozi hao mnaolilia waswepo kwenye uongozi ni hao hao mliofanya kila mbinu za kuwaondoa , hata kujaribu kuondoa uhai wao ili chama chao mkifanye tawi la CCM!Unfortunately hata hajui kama hicho alichosema kinamanisha nini. Kama hamuwezi kupata watu wa kuongoza watu elfu hamsini, mtapata wapi wa kuongoza 60M.
Mbona hili lipo wazi.mimi huwa najiuliza tu, kwanini pressure kubwa ya wanaotaka mbowe ajiweke pembeni ktk nafasi ya u chairman wa chadema, inatoka ccm?.
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.
Amesema chama chake kimeona kwenye chama chao ni anasa, huo ni mtazamo wao ndani ya chama chao kama ambavyo mtazamo ndani ya CCM ni kugawana madaraka kifamilia.Makamu mwenyekiti wa CHADEMA akihojiwa kwenye kipindi cha dakika 45 ITV leo usiku (tarehe 06-02-2023 09:00PM) kwanini watu wanahisi hakuna Demokrasia ndani ya chama chake hasa katika nafasi za Uongozi wa juu amesema kwamba demokrasia ipo lakini hakuna "time limit" kwa kuwa ni jambo hili ni anasa kwa mtizamo wa kichadema.
Anasema chama chake kutokana na changamoto ya kuwapata viongozi wanaofaa imeona ni bora kutokuwa na "time limit".
Wadau mnaonaje, kweli "time limit" kwenye uongozi ni anasa?
Nawasilisha,
Article.
Wataongea mpaka mate yatarukaruka midomoni, in politics no one is genuineTuondoe term limits kwa Rais Samia
Nakwambia mapovu yatawatoka mpaka nchonyoni.Hapo sasa mapovu yatawatoka
Hili suala nimelizungumzia Sana kwamba Kuna udhaifu kwenye mfumo wa uongozi wa upinzani,
Wanaendesha chama kama Mali ya MTU Fulani
Leo lisu mtu mwenye kujenga hoja kwenye kila jambo ameaibika vibaya sana kwa kukosa Hoja ya kutetea ya mfumo wao wa uongozi wa chama chake
Sio mnafiki lakini hapa ametetea hoja kinafiki kumlinda mkt
Mbowe aachie ngazi aruhusu chama kifanye mabadiliko anawadhalilisha wenzake