Yuko clear kwamba kwenye chama Chao Kuna Changamoto ya viongozi wazuri yaani chama kimejaa mbumbumbu walalamishi wasio na way forward ndio maana hao wachache walionao wanajaribu kuwatunza..
Ccm Ina watu wengi wenye akili ndio maana kwao ni rahisi kubadili viongozi..
Mwisho Lisu amethibitisha Kauli yangu kwamba huko Chadema kumejaa wajinga mboo na Kila siku nasema hapa,kitu pekee wanachoweza ni kulalamika na uzushi..
Toka Zito ameondoka kule Chadema hakuna mtu anayeweza kutoa Ushauri wa kiuchumi au kuchambua ripoti za kiuchumi,hakuna ndio maana chama linategemea matukio Ili ku trend 😁😁😁😁..
..wakati wanafanya hayo mabadiliko ya katiba chama bado kilikuwa kidogo.
..Na wao Chadema waliamini mabadiliko hayo ya kuondoa ukomo wa uongozi ktk ngazi zote yatawasaidia ktk kujenga chama chao.
..Kwa upande mwingine nafasi zote ndani ya Chadema hushindaniwa. Chadema hawana utaratibu wa kuwa na mgombea mmoja ktk nafasi yoyote.
..Ccm pia hakuna ukomo wa uongozi ktk ngazi zote. Sasa labda utueleze sababu za wao kutokuwa na ukomo wa uongozi ni zipi?