Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,571
- 4,820
Kauli thabiti ya lissu ni anamaliza siasa za kidalali za nyuma ya pazia unapewa blankcheque jukwaani unakausha.
Madalali wote wanaumbuka chadema na lissu watu wanamshukuru sana kwa ku.expose wanasiasa matumbo njaa chadema.
Madalali wote wanaumbuka chadema na lissu watu wanamshukuru sana kwa ku.expose wanasiasa matumbo njaa chadema.