ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,082
- 5,715
Ndio mnayoyataka huko ccm?Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Ndio mnayoyataka huko ccm?Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Topic za kipumbavu namna hii ndio zinazofanya Watanzania tuonekane hatuna akiliKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Waswahili haoYesheee ni nini au Lugha ya CCM
Kweli ww ni makalioKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Hivi unamuomba msamaha aliyekukosea ili siku nyingine akosee tena,au awaombe msamaha hata waliompiga risasiKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Aombe msamaha kwa kosa gani...Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Huyu alete vyeti vya Shule tuvikague,tutapata pa kuanzia!Yesheee ni nini au Lugha ya CCM
Kama haki ya mtu ipo,basi ipo pale pale na itapatikana kwa njia yoyote ile.Mungu ndiye ajuaye.Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele ni njaa tu
Mungu akubariki yatokee hayoSitashangaa Lisu akiibukia Mjengoni mikono nyuma kama Mboe
Mtu mjinga tu na asiyejua haki zake ndio anaweza kufuata huu ushauri wako. Msamaha haombi, na kuachiwa ataachiwa. Kama mlitegemea cdm kitakuwa chama cha kusubiri fadhila za ccm ili wapate ruzuku, basi mmeukalia. Hiki sio kizazi cha kuburuzwa na sheria za kulinda majizi ya ccm. Nyakati zimebadilila, someni alama zake. Ni hivi,NRNE.Kuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu
Haitakiwi kusamehewaKuwa mstaarabu omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu
Mwambie huyu mpuuzi wa kijaniLissu huyu huyu aliyegoma kufa?