This Man is blessed.Ameshatkiwa katika mashatka ya Uhaini ambayo ni makubwa lakini anajitetea mwenyewe na tena anatoa hoja nzito za kisheria hadi jaji na mawakili wa serekali wanashangaa na kumkubali.
Hatetemeki wlaa hana presha licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri Kunyongwa jambo ambalo autmatic kama mtu mwengine kumuharibu akili na kushindwa kusimama mahakamani au kuanguka kwa presha
Anajitetea mwenyewe na bila woga, panic, kulilia lia
Kama mimi wallah nashtakiwa kwa makosa yale najinyea , natetemeka na pengine hivi sasa ningalikuwa marehemu
naamini hata wengine wanasiasa kama unawakuta mtiahni kama ule zamani hivi mashati yote alikuwa anavyaa yamekuwa makubwa, nywele zishanyonyoka, presha na kisukari kipo juu
Unakumbuka Braza Sabaya alikonda sana pamoja na kwamba alikuwa na uhakika wa Kesi yake kuisha. Kisaikolojia Tundu Lissu bado yuko 100% intact.Ameshatkiwa katika mashatka ya Uhaini ambayo ni makubwa lakini anajitetea mwenyewe na tena anatoa hoja nzito za kisheria hadi jaji na mawakili wa serekali wanashangaa na kumkubali.
Hatetemeki wlaa hana presha licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri Kunyongwa jambo ambalo autmatic kama mtu mwengine kumuharibu akili na kushindwa kusimama mahakamani au kuanguka kwa presha, LISSU anaonekana ndio akili zake zinakuwa zaidi na maarifa yanaongezeka
Anajitetea mwenyewe na bila woga, panic, kulilia lia jambo haliwezekani kwa mwanasiasa au mtu mwengine yoyote kuwa na ujasiri huo
Kama mimi wallah nashtakiwa kwa makosa yale najinyea , natetemeka na pengine hivi sasa ningalikuwa marehemu (Allah anaiepushe)
naamini hata wengine wanasiasa kama unawakuta mtihani kama ule, zamani hivi mashati yote alikuwa anavyaa yamekuwa makubwa, nywele zishanyonyoka, presha na kisukari kipo juu.
Tundu lissu asiemkubali kwa ujasiri alionao basi huyo akapimwe mkojo
Nadhani hili ndio linamlinda na kumheshimisha Lissuukisimama katika UKWELI una kuwa HURU tena KWELI KWELI.
So far it is the best.TAL anatakiwa abadili mbinu zake za kivita
afanyeje? mshauri. mimi namshauri ajiunge na CCM , Haya yote yataondoka, akikosa huko aende Chauma , mambo yatakuwa amzuriTAL anatakiwa abadili mbinu zake za kivita
kiboko korokoroni right? dahmtu ambae asiekubali ujaisriri wa Tundu lissu huyo akapimwe ajitafakari na ajipime anaishi katika syari gani?
- Ameshatakiwa katika mashitaka ya uhaini ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
- Hajatetemeka wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
- Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
- Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamni hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari
Mti wenye matunda hupigwa mawemtu ambae asiekubali ujaisriri wa Tundu lissu huyo akapimwe ajitafakari na ajipime anaishi katika syari gani?
- Ameshatakiwa katika mashitaka ya uhaini ambayo ni makubwa, lakini anajitetea mwenyewe na kutoa hoja nzito za kisheria, kiasi kwamba jaji na mawakili wa serikali wanashangaa na kumkubali.
- Hajatetemeka wala hana presha, licha ya kuwekwa katika selo la watu wanaosubiri kunyongwa — jambo ambalo kwa kawaida mtu yeyote angepata msongo wa mawazo, kushindwa kusimama mahakamani, au hata kuanguka kwa presha. Hata hivyo, Lissu anaonekana akili zake zinaimarika na maarifa yake yanaongezeka zaidi.
- Anajitetea mwenyewe bila woga, bila panic, wala kulia — jambo ambalo ni vigumu kwa mwanasiasa au mtu mwingine yeyote kuwa na ujasiri huo.
- Kama mimi ningeshitakiwa kwa makosa hayo, ningeweza kujinyonyesha, kutetemeka, na pengine hivi sasa ningekuwa marehemu — Allah aiepushe. Naamni hata wanasiasa wengine, kama wangepata mtihani kama ule, wangepata matatizo makubwa; zamani mashati yote aliyokuwa nayo yalikuwa makubwa, nywele zake zilishanongeka, na alikuwa na presha na kisukari
halafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitchSo far it is the best.
Anaweka record sawa and i tell you for sure is the Next President.
He is under Testing, he will eventually be Passed
SABAYA alikua hana back up ya jamii pia hana taaluma ya uwakili na alikua haungwi mkono na mabeberuUnakumbuka Braza Sabaya alikonda sana pamoja na kwamba alikuwa na uhakika wa Kesi yake kuisha. Kisaikolojia Tundu Lissu bado yuko 100% intact.
Lissu hataki msamaha wa mtu anataka sheria ifatwe ili apigwr Kitanzi kwa haki.halafu kingine aache kuomba sympathy ya mahakama ili kesi yake ifutwe ajaribu kuswitch
hio ni weakness ambayo wakili wa jamuhuri jana nimeona akiitumia kumpiga nayo hivyo aitazame upya.
Lakini alikuwa mtu wa mfumo ambao ndio wenye nguvu kuliko hata hao mabeberu na jamiiSABAYA alikua hana back up ya jamii pia hana taaluma ya uwakili na alikua haungwi mkono na mabeberu
hapana Mh.TAL kujiunga na ccm au vyama vingine ni udhaifu.afanyeje? mshauri. mimi namshauri ajiunge na CCM , Haya yote yataondoka, akikosa huko aende Chauma , mambo yatakuwa amzuri
Hahahahapana Mh.TAL kujiunga na ccm au vyama vingine ni udhaifu.