Lissu: Natafakari urais 2020

Lissu: Natafakari urais 2020

Kama ametamka hivyo wala tusishangae maana bado ni mgonjwa so wagonjwa waacheni wajifariji tu, ila anempelekea bangi hospitalini mwambieni asubiri kwanza hadi mgonjwa apone
 
Ni kweli ccm haiwezi ondoka madarakani kwa njia za kidemokrasia za kupiga kura, kiuhalisia hakuna chama Cha kijamaa duniani kote kiliwahi kushindwa uchaguzi kikiwa madarakani. Lugha pekee wanayoielewa na kuiheshmu ccm na wajamaa wengine ni matumizi ya nguvu na umwagaji damu
Ni haki ya fikra zako kuanzisha matumizi ya nguvu na umwagaji damu lakini usije sema hatukukuonya.

Nadhani uko katika ndoto za alinacha!
 
Upinzani hakuna presidential materials hata wa kusingiziwa kisha lissu hata kaa awe rais wa Tanzania labda rais wa tls
 
Pascal, huyu uliyemsema ana uwezo gani ambao mtu mwingine hawezi kuwa nao. Wewe ni msomi, watu kama Albert Einstein walikuwa na uwezo wa kufikiri ambao hata leo hakuna mwenye uwezo huo. Sasa huyu wetu ana cha zaidi nini wewe usichokuwa nacho au usichoweza kukifanya as a president of that nature? Nyerere alijaribu kuwa na uwezo zaidi wa kufikiri, sio hao wote waliomfuata. Just being mechanical of which everybody can do!
Pascal katika afrika yote hakuna wa kukuzidi wewe interms of being a president kwa waliotokea kuwa presidents. Unaweza ukavurunda kama wao walivyovurunda. USA iko hivi kwa ajili ya Washington??? Abraham Lincon??? you know better than me!
 
Ni haki ya fikra zako kuanzisha matumizi ya nguvu na umwagaji damu lakini usije sema hatukukuonya.

Nadhani uko katika ndoto za alinacha!
Msemaji kweli, wewe leo uko madarakani, unasahau kuwa ikianza vita, ukoo wako hutaulinda wote, utaathirika. ni vizuri ukafikiri zaidi ya hapo. Rwanda hakuna ambaye hakuguswa. Ungelikuwa makini ungelijiuliza, kumbe watu wamefikia hatua ya kufikiri hivi! Tufanye nini? kwanini wanafikiri hivi? etc... siyo kutisha huyo uliyemjibu.
 
hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje

3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu

5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Waberoya umefulia sana siku hizi naona umekuwa mtabiri, political analyst, security analyst, election consultant kwa muda mmoja
1.unaposema chama chake hakiwezi mpitisha unatumia basis gani???

2. Kasaliti nini lisu?? Unaweza nipa mfano mmoja wa alichosaliti lisu alafu muda huo huo niambie imewezekanaje CCM inakuwepo madarakani kila uchaguzi ilihali imesaliti taifa kwenye kuuza rasilimali zetu kifisadi reference kwa marais waliopita ie: mkapa mwinyi na kikwete waliweza kuwa marais ingawa WASALITI kwa nini sio kwa unayemuita MSALITI lisu???

3. Haaminiwi na vyombo vya usalama ila hivyo vyombo vinaiamini CCM waliouza tembo wetu laki 4 kufikia 2015... Waliotuingiza hasara ya trillion zaidi ya 100 kwenye kashfa ya makinikia.... Walioingia mikataba ya kifisadi kma lugumi EGMA na IPTL au ni ccm tofauti na hii ina maana hao TISS ni vil.aza kiasi hiki kuwaamini mafisadi alafu kishindwe kumuamini lisu ambaye mpaka ssa hajawahi uza rasilimali za nchi kwa wazungu

4. Hapa umesema kweli ila kuna sababu kwanini anakuwa mshari kwa CCM sababu mnamnyima uhuru wa kutoa mawazo yake kazi kumrundikia makesi sasa unategemea atacheka cheka.... Hapa mmejaribu kumuua unafkiri atacheka Cheka tena ila zaidi atakuwa mshari maana nyie ndio mmemfanya awe hivo tokea anapinga ufisadi kwenye migodi mlikuwa mnamburuza sana selo

5. Mbona aliappreciate kukamatwa kwa Seth na Ruge kma mmojawapo ya milestone kwenye vita ya ufisadi au bandiko lake humu JF umelisahau???
 
Eti eeh!badala ya kutafakari hivyo vyuma vilivyo mwilini vinatokaje![emoji124][emoji124][emoji124]nasikia tamaa ikiwa mbele mauti huwa nyuma kidogo...
Kibaki alishinda urais wa kenya 2002 akiwa ICU na anaapishwa akiwa hawezi simama wala kutoka kwenye kitanda cha machela na hata kampeni zilimkutia wodini alafu ndio sembuse lissu!!! Hiyo ni setback tu ila haikufanyi uache kufikiria mambo mengine ya kimaendeleo kisa ulemavu wa muda!!! Ni sawa na kusema mwanamke mjamzito asiwaze kufungua biashara eti kisa ana mimba hivyo asubiri azae ndio aanze KUFIKIRI!!! ???
 
Kama.lowassa watanzania walimkataa, lissu hana nafasi kabisa.
Hahahahaa ila mkaenda kamata computer za TACCEU na LHRC ambazo walikuwa wana upload formu zote za mawakala kwenye vituo vyote Tanzania bara na visiwani

Kma mlishinda mliwapora computer zao zenye matokeo yote kwanni?? Mlikuwa mnaficha nni??? Vp Kituo cha majumuisho ya kura cha UKAWA pale mwananyamala mlifuata nni na kuanza kuwakamata na kupora computer zao ilihali CCM walikuwa wanakusanya yao kwa amani pale mlimani city!!!

Embu msiwahadae watanzania bila tume huru hakuna ushindi wa halali wa CCM
 
hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje

3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu

5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Kwenye point No.4 umeongea mambo mazito sana. Lakini mbona kwa sasa tuna Rais mpenda visasi kuliko shetani?
 
Kushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.

Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.

Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.

Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.

Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.

Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!

Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?

Hii ndio Tanzania

By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
Punguza jazib. Ccm imeshajiozea. Kama unabisha wekeni tume huru. Wapinzani waweke hata jiwe lishindanishwe na uyo magufuli wenu. Aki magu hapati hata kura 30%. Hata ccm wenzake watachagua jiwe.
 
Ur amongst great thinker wachache ninao wakubali mliobaki humu JF.
 
Kutoka moyoni kwangu,
ningekuwa ndo huyo baba ningeacha kabisa siasa;
............. tupa mawe tu ila ndo hivyo.
 
Yaani Lissu awe Rais wangu?labda nife
Bongo bwana mbona wanasheria wasomi wenzake walimchagua awe rais wao we hta kijiji tu hakiwezi kukuchagua ndio wajifanya kumkejeli..... Mbona jimboni kwake aliifuta ccm yaani vijiji 45 yye alichukua 43 ina maana wale ni wajinga mpaka kumchagua alafu ww ndio wajifanya kuleta dharaua za ajabu

Kma umeongozwa na mwinyi mkapa na kikwete viongozi mafisadi wa CCM kwa miaka 50 kwanini unajifanya kuweka ugumu kuongozwa na lisu!!! Ccm tu hapa mnaniacha hoi huwa mkianza kejeli kana kwamba mshawahi kuwa na Rais anayejielewa wakati wote wameua uchumi wanchi yetu kwa ufisadi wa kutisha !!
 
Ndugu, Mliberali, Comments zangu kuhusu maoni yako.
sifa za lissu
1. msomi was kweli tofauti nayele aliyenunua PHD
Adui Yako Mlaani lakini haki yake mmpe; Huyu umsemaye, amesoma vizuri hata alikuwa Mwalimu wa masomo muhimu na magumu shule za secondary. Msomi period.
2. mzalendo was kweli tofauti na yule anaigiza uzalendo : Lissu ni mzalendo lakini sio zaidi ya Magufuli, ishue ya Makinikia tuu inaonyesha nani mzalendo.

3.anajua kingereza hakika ataiwakilisha nchi kimataifa, tofauti na huyu hana confidence kwenye podium ya kimataifa
Lissu anakijua kiingereza zaidi, Kuwakilisha kimataifa sio lazima ujue na kuitukuza Lugha ya wengine, mbona Maraisi wa China,India,Iran, France,Italy, Saudia japokuwa wanaijua vizuri sana lugha ya Kiingereza, lakini wanatumia Lugha zao na wanakuwa na wakalimani, hiyo ni mojawapo ya uzalendo.
4. hana kashfa ya ufisadi tofauti na huyu tuliye Naye: Lissu hajashika nyadhifa yoyote ambayo atahitajika kutimiza matakwa ya mkubwa wake. na pia hatujia katika kesi zake kama alitumia mbinu za kumhonga Hakimu, ili wateja wake washinde kesi, kama kawaida ya mawakili wengineo. Time will tell.

6.ni dictator msomi huyu tuliye naye ni dictator uchwara: Lissu atakuwa Dictator Mkurupukaji, Mtafuta sifa na mwenye chuki sana.

7.ongezea
: Lissu anapendeza kuendelea kuwa mwanaharakati, mpiga kelele, na mgombea mashirika ya kigeni
 
Back
Top Bottom