SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,444
Makamanda wa chadema wameshapoteza ladha, kama big g naweza tema nikaonja karanga, watu waliwaamini ila wachache wamewasalit, kwahyo wakaushe tu 2020 magufuli anapeta, 2025 makonda anapeta.
Nimeyaongea haya kama mtanzania wa kawaida. Asiyefungamana na chama
Kama kuna chama kimekosa ladha basi ni chama chakavu ndiyo maana kinatumia mabavu ya vyombo vya dola na raslimali za nchi ili kubakia madarakani. Hata raslimali watu hakina ndiyo maana kinakodi wabunge na madiwani toka Chadema. Wakishindwa hoja wanateka,wanatesa na kuua wapinzani.