Lissu: Natafakari urais 2020

Lissu: Natafakari urais 2020

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,629
Reaction score
164,699
Hii ndio habari kuu katika gazeti la Raia Mwema la siku ya leo Jumatatu ya tarehe 29/01/2018.

Kwa chini kuna nukuu yake hii:

"Nawashukuru wanachama wenzangu na wengine wote wanaonifikiria nigombee uraisi."

Chanzo: kutoka magazetini

raia mwema.jpg
 
Kushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.

Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.

Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.

Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.

Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.

Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!

Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?

Hii ndio Tanzania

By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
 
hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje

3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu

5.he never appreciates hata ufanye nini!..
 
Eh wewe.
 
Hiyo namba 2 nimeipenda!
 
Utakua ulishiriki kwenye lile tukio sio kwa povu hilo
 
Lisu yupi sasa huyu mgonjwa?

Simcheki ila kama ni huyo basi WATANZANIA hatujitambui kabisa.
 
Eti eeh!badala ya kutafakari hivyo vyuma vilivyo mwilini vinatokaje![emoji124][emoji124][emoji124]nasikia tamaa ikiwa mbele mauti huwa nyuma kidogo...
 
Back
Top Bottom