Kwa mazingira haya ya tume kuwa yenu na polisi kutumika mithili ya misukule, kweli unayosema yana ukweli ndani yake.Kushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.
Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.
Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.
Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.
Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.
Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!
Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?
Hii ndio Tanzania
By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
Wengine wanakua mwili sambamba na akili lkn wewe unakuwa mwili tu..! Something must be terribly amis...!Lisu yupi sasa huyu mgonjwa?
Simcheki ila kama ni huyo basi WATANZANIA hatujitambui kabisa.
Lissu si presidential material. Mbaya zaidi hata vyombo vya usalama havimuamini. Mnafikiri mtu unapigiwa tu kura kuwa Rais wa nchi?
Povu na risasi za nini kama anaota tu?Kushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.
Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.
Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.
Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.
Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.
Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!
Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?
Hii ndio Tanzania
By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
Nchi inajitukanisha na kunuka kiasi cha kujitenga kimaifa na wenye kuheshimu demokrasia na utawala wa sheria.Lissu anaitukanisha nchi yetu kila mahali dunia hii!! anataka anachosema yeye aaminike, watu wote waumie kwa sababu ana hasira na magufuli!! ukiweza KUIANIKA nchi yako kimataifa una tatizo la kukosa influence
Haitakuja kutokea kwa tabia zile au tabia zake aje kuwa rais nchi hii.......haiji kuwa
Paskali ebu kuwa serious sasa, huu uzi wako wa 2017 unaukumbushia leo wakati upepo umebadilika kabisa. TL ni kichekesho kwa sasa kukabiliana na JPM huyu mheshimiwa wengi tumemwelewa na nina imani hata wewe paskali unamkubali ila unaongopa kuambiwa mkabila.
So saith mr god waberoya.hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Kasikilize ule wimbo wa DDC Mlimani park Nani Kamaliza mwaka, nani kauna mwaka una ujumbe mzuri kwa mdogo wakoWengine wanakua mwili sambamba na akili lkn wewe unakuwa mwili tu..! Something must be terribly amis...!
Niliipenda mada yako hiyo, ambayo kwenye bandiko la leo, imekolezwa na hoja moja ya Msemajikweli kwamba Mh. Lisuu Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.
Soma article utagundua mwandishi na gazeti walitaka niniKushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.
Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.
Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.
Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.
Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.
Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!
Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?
Hii ndio Tanzania
By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
Wakati Nyerere anakomboa nchi Vyombo vya usalama vya wakoloni vilikubali ? Kingine , huo ugomvi binafsi wa Lissu na Magufuli ni upi ? Inafahamika Lissu anapigania utawala wa sheria huku magufuli akisigina katiba , huu ni mgogoro wa kitaifa kwanini unauita mgogoro binafsi wa Lissu na Magufuli ?hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..
Tatizo la kukaririshwa kuwa Rais lazima atoke CCM .....!!Kushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.
Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.
Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.
Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.
Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.
Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!
Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?
Hii ndio Tanzania
By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
Huna lolote wewe! Lissu hajasema hayo ila wanaopenda awe hivyo ni wengi.Kushangiliwa kidogo amejiona anaweza kupambana na CCM the Giant huku nafasi ya Urais ikiwa na incumbent president.
Kama anataka kutimiza namba haina tatizo kwa sababu hata Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais.
Hajui kuwa Watanzania ni wazuri sana kwa kushangilia na wepesi sana wa kukusahau ndio maana wanaleta misema mingi kama vile "pambana na hali yako" ikimaanisha kuwa usiwauzie fulana au matatizo yako.
Mdanganyeni akacheze hiyo kamari ili apoteze vyote. Hata ubunge utausikia kwenye TV kwa miaka mitano.
Yeye aendelee tu kuwa mwanaharakati kwa sababu mwanaharakati "anajua yote" lakini hana practical solution.
Aende akamuulize Lyatonga Mrema au Lowassa aliyekuwa anatandikiwa kanga barabarani na anadekiwa baràbara ili apite!
Juzi Lowassa aliposhuka kwenye gari lake wakati wa ufunguzi wa kampeni Kinondoni zilizikika sauti za watu kama watatu wakiimba Rais, Rais, halafu sauti nyingine ikasema mbona mmepooza na hamuimbi?
Hii ndio Tanzania
By the way, anazo pesa za kumlipa Lowassa ili amwachie nafasi yake?
Unamuongelea Lissu au mumeo?hawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....