Mhenga2
Member
- Jul 14, 2017
- 66
- 26
Wewe ndio akili zako zipo nyuma sana aliyekuambia mtu akitaka kugombea ananyimwa ridhaa na chama chake ni nani je wewe ndiye msemaji wa chama chake?,je usaliti aliouonyesha ni upi au hnataka tu kuleta mambo yako ya kusema watu ni wachochezi kwaajili tu ya kumsema rais kwamba kuna mambo hanayoenda tofauti? Je kama ndio hivyo tusiseme eti kwasababu yeye ndio bosshawezi, haji, haiwi, hatakuwa, asahau....
1.hawezi pata ridhaa ya chama chake
2.msaliti no. moja wa taifa, akili ya Lissu ni sawa na Joyce kiria, mke wa kilewo....kutoa siri za ndoa nje
3.haaminiwi na vyombo vya usalama, so akigombea ataishia kupigiwa deki
4.mshari, ana visasi, mbishi na ataleta machafuko nchini tatizo lake na JPM binafsi kaliweka ni tatizo la nchi na kuumiza kila mtu
5.he never appreciates hata ufanye nini!..