Kosa alilofungwa nalo(Uchochezi) lina dhamana, inawezekana hata huko December isifike. Hii habari ya mama kutaka kumsamehe ni kuonesha tu kuwa mama anajari lakini hiko kitu hakipo kwasababu ma judges wamecheza blunders na waliowatuma na baada ya kuona maoni ya magwiji wa sheria sasa serikali inataka kujisafisha kupitia kinachoitwa msamaha wa rais. Njia yao kubwa ilikuwa kumpoteza mhe. Lissu katika ulimwengu wa siasa mpaka 2030 na kupoteza credibility ya kuwa mgombea wa ubunge au urais katika nchi yetu.
Huu ni ukatili mkubwa sana kwa yote yaliyotokea kuanzia Oct 29.